TAZAMA JINSI MTOTO WA NANCY SUMARI ALIVYOKUWA MKUBWA NA ALIVYOPENDEZA KWENYE HII PICHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtoto wa Nyoka ni Nyoka tuuu...Daaahhh Kazuri kama mama yake ....MMhh nani anabisha?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera kuliko hao wehu wanaonyonga watoto choon.

    ReplyDelete
  2. Very cute.. hongera

    ReplyDelete
  3. Dah kumbe Dada Nancy alizaa na mhindi? Hongera sana dada yangu, ila hakikisha kuwa una document nzuri za kisheria kulinda haki za mtoto huyo asije akakosa sehemu ya utajiri wa baba yake kwani nina imani kuwa shemeji yetu huyu atakuwa ni tajiri, ndiyo maana akaweza kuzaa na mrembo wa aina yako.

    ReplyDelete
  4. Kaukweli daah kakue haraka mwanangu akafaidi

    ReplyDelete
    Replies
    1. umetisha mdau mpatie mawasiliano yako ili uweke booking mapema.

      Delete
  5. ...we kichaa kweli kweli

    ReplyDelete
  6. Kazaa na mwanamme wa mtu hana maana huyo demu mwizi wa wanaume za watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulijuaje?acha umbea kama umekosa cha kuandika...ndo maana hamna maendeleo kwajili ya unafki na umbea.

      Delete
    2. huyo mume wa mtu mumeo au

      Delete
  7. sawa sawa mdau mpe ajira yake. kama kazaa na mume wa mtu we inakuhusu nini si huyo mume wa mtu amejipendekeza mwenyewe kwe mrembo mstaarabu? so cute baby girl. mungu akukuzie salama.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanaume za watu watamu kwani we hujui acha kujichetua wewe mwenyewe isitoshe una mme wa mtu hongera dada nancy

      Delete
  8. KWANZA KAZAA NA NANI??????????????????KAOLEWA MZINIFU HUYO.

    ReplyDelete
  9. WE NAYESOMA UJUMBE HUU CHINI YA KITANDA CHAKO KUNA BONGE LA NYOKA!!!!!!!!!!!!!! KAMUUE KWANZA.

    ReplyDelete

Top Post Ad