TETESI:MWANADADA JACK CLIFF AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MACAO/CHINA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo anadaiwa kukamatwa na dawa za kulevya  nchini China. Star mmoja nchini aliyekataa kutajwa jina lake aliutonya mtandao wa  swahiliworldplanet  bila kufafanua zaidi kwa kusema kuwa Jackie amekamatwa na madawa ya kulevya China:

 "Jackie Cliff amekamatwa na unga China". alisema star huyo huku akitutumia na picha za mwanamke aliyefungwa kitambaa usoni baada ya kukamatwa na dawa hizo na mwanamke huyo anadaiwa ni Jackie Cliff. Angalia picha hizo hapo chini..........
  
Hata hivyo baadhi ya mitandao jana  iliweka habari za mwanamke mmoja wa kitanzania kukamatwa na dawa za kulevya huko china lakini bado habari hizo hazikubainisha mwanamke huyo ni nani na usiku huu ndiyo ikasemekana ni Jackie Cliff. Habari hiyo inasomek  kama  ifuatavyo: 
  
"Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.
  
"Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko Chima.
  
"Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013."
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. makubwa, muuke ya muuza sembe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Oh my God.heri ni bakie na Mzungu wangu

      Delete
  2. Na bado...mi nilimwambia aache hakunisikia...ss yamemkuta..maj ukiyavulia nguo shart uyakoge...jackie

    ReplyDelete
  3. yeleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! zimefika za mwizi....

    ReplyDelete
  4. anyongwe!!!ila tutamwona cku c nyngi anatanua bongo km mitako uji

    ReplyDelete
  5. Kamata punda wote hadi zizi liwe jeupe.

    ReplyDelete
  6. Hongela kwa huo ujasili, bungen walisema,nanukuu! hatuwezi kuwataja wauza unga,kwani hakuna atakayepona mwisho wakunukuu! sasa hayomafisad yaliyoku2ma yatakuijia usiwe nawasiwasi yatakusaidia.

    ReplyDelete
  7. Wadada wamujini wanakazi mbili tu. 1 kuuza K kwa wauza sembe. 2. Kubeba sembe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Www.match.com (rich young white men ) wanapesa Kama wauza unga join the website

      Delete
    2. Unapewa mbwa akulale,nimeshindwa hacha niolewe na wabongo.maisha mazuri du mpaka jasho likutoke

      Delete
  8. FILIGISI YANGU NCHANGA27 December 2013 at 13:18

    AKUFE TU JAMANI…..

    ReplyDelete
  9. wanawake na maendeleo tufanye kazi tusonge mbele

    ReplyDelete
  10. Jamani Shamim mwasha mwambie mumeo Abdul nawenzake wakina Kinje waachane na hii biashara yakuwabebesha wenzao unga.Taifa linapoteza vijana nguvu kazi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nawewe mwenye ZIzou Fashion kama kutajirika umeshatajirika vyakutosha badilisheni sasa biashara acheni kuwatumia gijana wa Taifa letu kwa kuwafanya mapunda yenu wakuwabebea unga.Ona sasa vijana wamanyongwa wanawaachia familia yao simanzi milele.

      Delete
  11. hili janga sasa vijana wanapuputika kwa kasi awe mvutaji, mmbebaji hata muuzaji....kiama chaja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Oooooooh pole ila wakubwa washirikishwe coz wao ndo wadau wakubwa mnatumaliza vijana taifa linateketea wajamani

      Delete
  12. Kumanina zenu mnateketea kwan nyie hamna macho ya kujua kipi kibaya na kipi kizur...na tutawabebesha mpaka kwenye matumbo yenu ya uzaz...

    ReplyDelete
  13. Kumanina zenu mnateketea kwan nyie hamna macho ya kujua kipi kibaya na kipi kizur...na tutawabebesha mpaka kwenye matumbo yenu ya uzaz...

    ReplyDelete
  14. Kwa maisha wanayoishi hakuna namna nyingine wanayoweza kufanya zaidi ya kuwa punda. Kipato ni kidogo kuliko matumizi, na K zenyewe, wauzaji ni wengi soko limeshuka,ukiuza sana unaambulia laki 2

    ReplyDelete
  15. yote kwa yote tukumbuke kwa namna moja au nyingine malipo ni hapa hapa duniani na sote tumetoka mavumbini na tutarudi mavumbini iwe isiwe kama leo ni mwanangu au mimi nimefanyiwa mwanangu na wewe wa kwako itafika siku na ataanagamia kama volcano ina vyo lipuka. WACHENI NA MTOKOMEZE HAYO MADAWA YA KULEVYA SOTE YANATUDHURU KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE

    ReplyDelete
  16. Msitamani maisha ya lulu kanumba instagram,hela anakozitoa mtachoka.

    ReplyDelete
  17. Hivi kweli kama kuna mwanamke na anajua shughuli ya mumewe ni hii ya madawa ya kurevywa na anafurahia na kuendelea kuringa kwa utajili haramu na uchafu wa mumewe kutafuta hela kwa njia kama hii ya kuwatumilia watu wengine. kama hawa watu wanaoitwa mapunda, wakiuwawa damu yao iko mikononi mwao na wake zao wanaofuraia mabaya na kutumbua kwa anasa za dunia hii, haya ndio matendo hata mwenyezi mungu hapendi, utu wa mtu sio muonekane wa nje tu, bali ndani, kumbe ndani ni mbwa mwitu,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio Kama tunafurahia,maisha bongo magumu,tunataka kubadili nguo tutupie instagram watu watu admire,so sembe inahusika,kazi mshahara autoshi kufanya matanuzi ya kufa mtu,

      Delete
  18. Jack cliff mtamuona mtaani sooon,we unafikiri Jacky ni punda Wa kajaMba Nani?ni punda Wa mtu mzitooooooo

    ReplyDelete
  19. Yuko china anakula raha,Ana hela ka mchanga Wa baharini.du,

    ReplyDelete

Top Post Ad