WACHINA WAKAMATWA NA SHEHENA YA MENO YA TEMBO BANDARINI DAR

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakuu,

Japo naiweka kama tetesi ila napenda ifahamike kuwa ukweli wake utajidhihiri muda si mrefu.

Tetesi yenyewe ni kuwa Kuna Wachina wamekamatwa na Shehena Kubwa ya Meno ya tembo Bandarini Dar na sasa wamechukuliwa kisiri na "watu flani" ambao hawataki habari hii ijulikane.

Napenda kuviarifu vyombo vyetu vya dola kuwa makini na "watu hawa flani" kwani wananchi hatutakaa kimya endapo hili litanyamaziwa.

Namna yoyote ya kuzima huu ujangili italeta balaa kubwa si kwa vyombo vya dola tu bali hata kuitia doa serikali kwa ujumla. Msifiche, waanike ili waueleze umma nani yupo nyuma yao!

Happy New Year 2014!

========
UPDATE:

Ili wajue tumeshajua na si siri na kiasi cha "mzigo" tunajua, naongeza data:

Ilikuwa ni meli ya kijeshi ya China ambayo ilikuwa imeegesha gati namba 3 baada ya kuwa nchini katika shughuli za kawaida za ushirikiano katika kudhibiti maharamia (Pirates). Katika kuuficha mzigo kwa kudai magari yamebeba chakula ndipo wakashtukiwa.

Chanzo chetu kinatufahamisha kuwa Wametiwa pingu na wanajeshi wa JWTZ na TISS na wamepelekwa Ukonga na msafara wa magari mawili yakiongozwa na pikipiki za Polisi.

Hata walipo tuna chanzo chetu ambacho kitaendelea kutujuza kinachojiri

Source:Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuongoza nchi hii kazi.kweli.kwa kutokomeza maovu haya ngumu sana sababu mtandao huu mkubwa unajumuisha watu aina tofauti kama wa madawa ya kulevya.SERIKALI IANZE KUSAFISHA VIGIGO KWANZA WAIOPO NGAZI ZA JUU

    ReplyDelete
  2. Nyonga kenge hawa alafu kesho kama kuna m2 atasubutu

    ReplyDelete
  3. Wetu wakikamatwa kwao wananyongwa ila wao tukiwakamata kwetu tunawapa escort kama mabalozi, utumwa wa kifikra au unyonge wa namna gani huu?????

    ReplyDelete
  4. HATUWEZI KUTOKOMEZA UJANGILI WAKATI WAWINDAJI HARAM NI HAOHAO VIGOGO WASERIKALI YAMACCM

    ReplyDelete
  5. HATUWEZI KUTOKOMEZA UJANGILI WAKATI WAWINDAJI HARAM NI HAOHAO VIGOGO WASERIKALI YAMACCM

    ReplyDelete
  6. HATUWEZI KUTOKOMEZA UJANGILI WAKATI WAWINDAJI HARAM NI HAOHAO VIGOGO WASERIKALI YAMACCM! YAMESHA CHOKA KUSIMAMIA MALI ZETU NA KUTUONGOZA.

    ReplyDelete
  7. HATUWEZI KUTOKOMEZA UJANGILI WAKATI WAWINDAJI HARAM NI HAOHAO VIGOGO WASERIKALI YAMACCM! YAMESHA CHOKA KUSIMAMIA MALI ZETU NA KUTUONGOZA.

    ReplyDelete
  8. wanawatesa wachunga ngombe wasio na hatia wanawaacha wageni wezi eee mola turehemu sisi wanyonge tuwe,kama nchi zingine mfano angola ci kama tupendavyo cc bali mapenzi yako yatimizwe.

    ReplyDelete
  9. na c tuwanyonge mbuzi hawa

    ReplyDelete

Top Post Ad