AUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Hamida Hassan
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi.

Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Aunt alisema mumewe, Sunday Demonte alikamatwa kutokana na viza yake kuisha ambapo alishikiliwa kwa muda na alipokamilisha taratibu za ‘kurinyuu’, aliachiwa.
“Nashangaa sana mambo haya yamevuma kuwa mimi nimemuacha mume wangu amefungwa, ukweli ni kwamba mume wangu yuko huru na hata sasa ukitaka ongea naye, ni mwanamke gani atakuwa na furaha hivi wakati mumewe ana matatizo?” alihoji Aunt.

Katika mistari mingine, Aunt alisema watu wengi wanatamani kuona ameachika au kujua mwenendo wa maisha yake na mumewe lakini wanajidanganya kwani yeye ni mwanamke aliyeamua kuolewa na amefundwa hivyo wataambulia patupu.
“Siyo  rahisi mimi kutoa siri ya maisha ninayoishi na mume wangu, ni makubaliano yetu. Kimsingi ndoa yetu iko imara, watasubiri sana na watachoka wenyewe,” alisema Aunt.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sema we ni kahaba uliyepumzika, akifilika ndo 2takujua

    ReplyDelete
  2. nenda kale mavi huko kahaba mmoja weee......!

    ReplyDelete
  3. Wacha kudanganya watu ww Sunday yupo ndani Abu Dhabi na hajatoka na passport alikua hana unasema alikua visa imeisha njoo umtoe kama unaweza wadanganye wadanganyika Tu huku watu wote tunajua kama yupo Abu Dhabi anaminywa pumbu tu

    ReplyDelete
  4. We utakuwa unajua ukweli,Funguka Mdau wangu

    ReplyDelete
  5. Mchizi alidakwa mwanzo mwaka juzi akatoka ILA sasa yupo Abu Dhabi na kesi yake IPO chini ya wakubwa WA nchi hakuna hata ruhusa ya kumuona mwambieni aunty atoe namba yake

    ReplyDelete
  6. yaani hicho ki-demonte kama kitoto!! yaani hizi hela zitatoa watu roho.hapo ni hela tu imefuatwa anajidai eti nampenda sana mume wandu!!!! ridiculous...

    ReplyDelete
  7. Bila kuonekana kwenye magaziti kuma yako inapwita eeeee! Vt vingi vya kukaa kimya tu..... Unamcholesha mwana tu.... We nawe wakuwa na mume.....! Kuma yako hata mtoto aliyezaliwa jana anaijua...

    ReplyDelete
  8. Manen yamesemwa,asanten

    ReplyDelete

Top Post Ad