BAADA YA LULU KUPATA MCHUMBA..SINTAH AJITOKEZA NA KUMPA DARASA LA MAPENZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ninakutakia kila la kheri ila kuwa muangalifu na wanaume maana kuna wa aina mbili masikini na matajiri, wale masikini watakupenda kwa dhati wakiwa hawana ila siku wakipata utawajua wao nani, ama uongo wadau?

na wale matajiri watajua umependea pesa zao na hata kama umempenda kwa dhati mambo ya manyanyaso na nk yatahusika, esp matajiri watakuhonga kila kitu make sure hata akikununulia kijiko kiwe katika jina lako Elizabeth Michael.

the best maana sasa umekuwa yaliyopi
ta si ndwele tugange yajayo, one more thing, mfiche mtarajiwa wako we anza kumtangaza anaitwa J haaa kuna makubimbiri yanan’gaa macho kazi yao kusubiri kutongozwa halafu yalivyokuwa mahayawani yenyewe yanakuja kwa nia moja tu ya kuharibu na kusepa so TAKE CARE……. 

Unstoppable

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huna lolote wewe sintah umekalia kusengenya wa2 kwenye blog yako mbona kama we unayajua hayo mapenzi umekosa mume na unaelekea miaka 40

    ReplyDelete
  2. huna lolote we sinta ulishindwa kutulia na juma wako mpaka ukasababisha juma akamtoa kafara james dandu kwa sababu yako mjinga mkubwa ww ufai kwenye jamii.

    ReplyDelete
  3. Duuu kumbe dandu alitolewa kafara kisa sintah au maneno tu mbna hivyo mdauuu

    ReplyDelete
  4. Anatafuta gia ya kumwibia buzi lake..

    ReplyDelete
  5. http://tasktojob.com/index.php?task=109658

    ReplyDelete
  6. WEWE SINTAH UNAJUA SANA KIFO CHA DANDU NA KWA NINI KWA AJILI YA HUYO BASHA WEWE SUBIRI SASA HIVI UNAFIKA MIAKA 50 UTAJIPIGA MIKUNYETO NA WAO WALIKIPIZA UTAKIONA CHA MOTO

    ReplyDelete

Top Post Ad