BAADA YA WEMA SEPETU KUUANZA MWAKA VIBAYA SASA DIAMONDI AJITOSA KUMNUNULIA WEMA NYUMBA YENYE THAMANI YA MAMILIONI YA PESA JIJINI DAR.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari mpenzi wake wa ‘nenda rudi’, Wema Sepetu, Amani limeinyaka hii.

KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo, Diamond ameamua kuingia kwenye kujikamua huko kufuatia taarifa kwamba, mmiliki wa nyumba anayoishi Wema kwa sasa (jina lipo), Kijitonyama, Dar es Salaam amemwamuru mlimbwende huyo kuhama kwenye mjengo wake mara baada ya kumaliza mkataba mwezi Juni, mwaka huu. Awali mjengo huo aliutangaza ni wake.
HEBU SIKIA
“Mwenye nyumba anayoishi Wema kwa sasa amekataa mrembo huyo kuendelea kuishi pale, akimaliza mkataba wake Juni, mwaka huu basi, hataki tena.
“Sasa Diamond aliposikia hilo akamwambia Wema isiwe tabu, akamuahidi kumnunulia nyumba ya kifahari yenye thamani ya shilingi milioni mia moja na ishirini na tano.
“Nadhani hiyo nyumba ipo tayari, ndiyo maana amemtajia na bei. Lakini ninavyojua mimi ipo Mwananyamala,” kilisema chanzo.

KUHUSU NYUMBA YA SASA
Kuhusu nyumba ya sasa, ni kweli ‘kifo cha nyani miti yote huteleza’ kwani Wema anatakiwa kutoendelea na mkataba mpya ikiwa ni siku chache tu baada ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam kuamuru anyang’anywe lile gari lake la kifahari aina ya Audi Q7 lenye usajili wa T 973 BUJ na kukabidhiwa mmiliki wake halali, Shadrack Tweve.
Wema alipewa gari hilo na mwanaume anayedaiwa ni mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye alilikopa kwa mmiliki huyo lakini alikuwa akikwepa kulipa deni la shilingi milioni 90.
Akizungumza na mwandishi wetu katika mahojiano maalum yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar, mmoja wa ‘kruu’ ya Wema ambaye hakutaka jina lake lionekane gazetini alisema kwa sasa Wema yuko katika kipindi kigumu baada ya kumwagana na kigogo huyo aliyekuwa akidaiwa kumpa jeuri na kufuatia kuamriwa kuhama kwenye nyumba hiyo.
Chanzo chetu kikazidi kumwaga data kuwa mbali na Wema kuachana na Clement, bado mrembo huyo amekuwa katika kipindi kibaya zaidi baada ya kunyang’anywa gari hilo ambalo ndilo alilokuwa akilitumia.
MKATABA WA NYUMBA ULIVYOKUWA
Mpashaji wetu aliendelea kujuza kuwa mmiliki wa nyumba anayoishi Wema ameamua kusitisha mkataba wa kumuongezea Wema muda wa kuendelea kuishi hapo baada ya kusikia madai ya msanii huyo akitamba kwenye magazeti kuwa mjengo huo ni mali yake na aliununua kwa shilingi milioni 400.
“Mkataba wa awali unaisha Juni, mwaka huu, hivyo hataweza kuendelea kuishi hapo lakini pia hana pesa za kuweza kulipa gharama ya nyumba kama ile, kwa sasa hana jeuri tena,” kilisema chanzo hicho.
Kikaongeza: “Unajua mara baada ya Wema kuingia kwenye nyumba ile na magazeti kuandika kwamba ameinunua, mmiliki wake alimfuata Clement kwa sababu ndiye aliyeingia naye mkataba.
“Akamuuliza inakuaje Wema anatangaza nyumba ni yake? Clement akampoza mwenye nyumba kwa kumwambia kwamba, asiwe na wasiwasi, Wema ni staa, mastaa wa Bongo wanapenda kujisifu, yeye adili na yeye aliyeingia naye mkataba.”
AANZA KUSAKA CHUMBA KIMOJA:
Habari zinadai kuwa mtazamo wa Wema (kama nyumba ya kununuliwa na Diamond itachelewa) ni kutafuta chumba kimoja na kupanga ili maisha yaendelee.
MAMA WEMA ASHAURIWA JAMBO:
Wadau hawakuishia hapo, walifika mbali zaidi kwa kumshauri mama mzazi wa staa huyo, Bi. Mariam Sepetu amchukue Wema na kuishi naye nyumbani kwake, Sinza-Mori, Dar ili kuficha aibu hiyo nzito na kubwa ya binti yake.
“Hata kama kuna tofauti baina yao, namshauri mama Wema amchukue mwanaye waishi pamoja, hii ni aibu ya familia kwa jumla,” alisema mdau mmoja kwa sharti la kutotajwa jina lake.
DIAMOND SASA:
Amani lilimsaka Diamond ili kuzungumza kuhusu madai ya kumnunulia Wema nyumba ambapo alisema:
“Mimi sipendi Wema apate tabu, naweza kumgharamia chochote kile ilimradi atulie tu.”
WEMA ATAFUTWA:
Mwandishi wetu alipomtafuta Wema kwa njia ya simu, iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa, hata mwandishi wetu alipomtumia ujumbe mfupi wa maneno (SMS), bado hakujibu.
CLEMENT NAYE:
Katika harakati zetu za kutetea ukweli, mwandishi wetu alimtafuta kigogo huyo kwa ajili ya kupata ukweli halisi ambapo baada ya mwandishi kujitambulisha, Clement alitoa udhuru wa kwenda kikaoni na kutaka apigiwe baada ya dakika tano.
Baada ya dakika 20, mwandishi alimpigia simu Clement lakini kila ilipoita kwa muda aliikata.

GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa hiyo, yanatuhusu nini sisi, lete habari nyingine weweee.... hwa watutulishawachoka

    ReplyDelete
  2. yaani nyie mapaparazi njaa wa shigongo sijui mashoga mbona mnamfatilia sana wema wa watu mpka hana raha sasa acheni ukuma kua staa sio ndo mmkoseshe raha mikundu nyie naye anamoyo pia anaumia mwacheni mtt wa watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakuna kuma kama wewe

      Delete
    2. Anayeona hayamuhusu siyo lazima kucoment humu, ooovyooooo.....! Umevutiwa ndo maana umesoma.!

      Delete
    3. Kazi ni kutukana tu...mlaaniwe nyie mnaotukana...kama hamjazaliwa kupitia sehemu hiyo. Nchi nyingine kama kenya na nigeria huwez kukuta coment zimejaa matus ya hicho kiungo waluchonacho mama zenu kiasi hiki..inatia aibu. Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu. Matusi ya nini...Kila kitu kibaya cha ajabu nu K**elimikeni achen upumbavu wa kuandika matusi. Vijana weng wa ktanzania nadhan wamelaaniwa. Kumbuka mama yako pia anayo...na kama sio hiyo K** usingezaliwa... Nimeudhika sana....

      Delete
  3. wewe mkundu hapo juu acha matusi au wema ni bibi yako nin?

    ReplyDelete
  4. tulichogundua shigongo bila wema hamna mapato, kila siku mtoto wa watu.

    ReplyDelete
  5. http:/monthlyjobpay.com/?=kelvynmrady

    ReplyDelete
    Replies
    1. http://monthlyjobpay.com/?id=kelvynmrady

      Delete
  6. sasa mbona mnamtukana mod wakati stori mmefungua wenyewe na kuisoma mpaka mwisho?
    kama hujaipenda kaa kimya na fungua stori nyingine, maana ziko nying hapo nje!!!

    ReplyDelete
  7. Wote makuma 2

    ReplyDelete
  8. WOTE WASENGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  9. Acha movie Ianzeee Ngololo remix

    ReplyDelete
  10. acha movie iendeleeeeeeeee

    ReplyDelete
  11. Kusema kweli wamuache Wema apumzike! Khaaa, sijuwi Wema analalaje usiku? Kila kukicha Wema Wema jamani kwani laajabu lipi hasa!!! Waandikeni na wasanii wengine nao wapate majina, kwani bila Wema hamuuzi habari??? Enough is enough abeg

    ReplyDelete
  12. Waacheni waseme nao wapate daku

    ReplyDelete
  13. Yaani hawa waandishi wanasababisha watu kuwashusha chini mmemwandama wema sijui penny kawapa kuma ebu mwacheni wema ale maisha na daimond juzi tu wameludiana mmeanza maneno sasaivi mtawaachanisha dai kwa umbeya wenu mliongea umbea wenu kuusu uwoya na ndiku mpaka mlifanikiwa sasa mbona yenu amyaandika kweni nyie mmekamilika acheni umburura wenu naisi mnataka kuonja vitu anavyovifaidi dai mtakula kwa macho mumuache miaka 1000 mbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeele?

    ReplyDelete
  14. nimependa wema na dai walivyo ludisha mapenzi yao, ila wema badilika mamy siamini kama ilenyumba sio yako kwann unafanya vitu vyakukutia aibu? kubali maisha yako ulionayo acha kujitangaza

    ReplyDelete
  15. wema akilizako czani kama ziko sawa, kufuru zotezile kumbe nyumba c yako! huyu binti laana but ongela kwa kuludisha penzi lenu

    ReplyDelete
  16. Hivi Diamond ni mjinga kiasi hiki? yaani haoni kuwa Wema amerudi kwake kwakuwa mambo yake yameharibika? na Diamond atauza vyote sasa, yetu macho, acha move iendelee

    ReplyDelete
  17. Sasa nyinyi hamchoko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna mtu mwenye akiri anaweza kujitangaza kwenye vyombo vya habari eti nyumba ni yake na si kweri mimi nasubiri june ndo nitakubari kama kumbe mastaa hawana kitu

      Delete
  18. Haaaaaa renovation zote hizo kumbe nyumba sio yakwake? Msibaaaaaa umeniangusha wema sepetu

    ReplyDelete
  19. Ana ubavu wa kujenga nyumba ya m400? kwa elimu gani na kazi gani alio kuwepo nayo!?

    ReplyDelete
  20. Tac one and action....wacha serias isonge!!!

    ReplyDelete
  21. Jaman elim kweli muhim. Mwandishi hajakosea superstar au celebrity anafuatiliwa mda wwte na SAA yyte . Kuna somo linaitwa NEWS REPORT . Pitien ilo somo kwny google then mtaelewa non waandishi wanafanya. Us blame ki2 bila kuelewa

    ReplyDelete

Top Post Ad