DINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani.
Kwa muda mrefu Dina na Ruben wamekuwa kwenye uhusiano lakini wamekuwa wakijitahidi kuuficha usijulikane na watu, lakini hata hivyo watu wa karibu hasa wanaofanya nao kazi, walifahamu juu ya uhusiano huo.
Akizungumza katika Kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na Radio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Ijumaa iliyopita kwa mara ya kwanza Dina alifunguka kuhusu kuwa na uhusiano na Ruben huku akiweka wazi kuwa ana mimba yake.

“Ni kweli baba mtarajiwa wa mtoto wangu ni Ruben Ndege ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Skylight Band. Wengi hapa kazini mnajua kuwa tulianza naye mbali. Kulikuwa na kupanda na kushuka, mara kwa mara lakini nashukuru sasa uhusiano wetu umeimarika,” alisema Dina.
Alisema, katika muda aliokuwa katika uhusiano na Ruben, kuna wakati walikuwa wakiachana na kurudiana lakini anamshukuru Mungu kwa kuwasimamia na kuwafikisha katika hatua hiyo.
Siku hiyo Dina alikuwa akiaga wasikizaji wake, kwa vile atakuwa na likizo ya uzazi ya miezi minne wakati huu akisubiri kujifungua na kumlea kichanga chake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na akizaa mtoto amuite Njiwa baba yake si anaitwa ndege kwikwikwikwikwi! Ni ushauri tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapenzi ya kupanda na kushuka tena .Watu tuache uvumilivu wa kijinga.

      Delete
    2. Kupanda na kushuka ndio mapenzi gani hayo

      Delete
  2. Daaah i cant imagine ukioa mwanamke mbea kama dina au gea habibu inakuaje humo ndani coz they look like wanajua mambo meeengi ya kitaa, udaku, mahusiano nk. kujua kitu sana mara nyingi huongezea maumivu tu katika maisha coz hutamwamini mtu kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Daaahh!!sure na ka bi chau,kopa na Miriam wa migomba mbona utajuta maisha yko!!!na akikufania ilo timbwili mbona ungetaman operation tokomeza kuliko hao bishosty!!!

      Delete
    2. Utangazaji ni kazi yake lakini in real life, hayupo hivo kabisa!!

      Delete
    3. usichanganye uigizaji na utangazaji,wale ni wambea tipcal

      Delete
    4. UNATEGEMEA NINI MTU KASOMA SHAURI TANGA

      Delete
  3. dina ameingia ncha kali, daah inhi inhi inhi hihihihihihihi

    ReplyDelete
  4. Makuma wa Redio ya Wafuu

    ReplyDelete
  5. Heeee tukaambiwa ana mimba ya kigogo kumbe sio kigogo ni kibua. Kwikwikwi au ukurugenzi wa bend nao ni ukigogo?

    ReplyDelete
  6. Dina ni very intelligent, respectful woman na sio km hao wanaojulikana bt kila siku scandal!! Wish u gud lyf dina n awe mtoto wa kheri, na vile anavoongea redion ni part of her work so kajifungue salama sweety

    ReplyDelete
    Replies
    1. INTELLIGENT DIVISION ZERO

      Delete
    2. Kupata dv ziro no an issue unaweza kupata dv 1 coz una uwezo mkubwa wa kukumbuka and not resoning hvyo nakubal dina is intelgent.ingekuwa wote waliopata dv 1 ni maintelgent 2singekuwa na nchi mbovu ambayo 2mejaza dv 1 za kukumbuka and not intelgent

      Delete
  7. Tangu lini Ruben mkurugenzi wa Skylight Band? Pumbavu,mnapotosha wananchi.

    ReplyDelete
  8. duu mbn hvyo..waachen wapendane xema cpend tabia ya cku hz pipo wanazaa ktk uchumba.na dina alwah xema hata ndoa anatafuta tu bwana wa kuzaa nae

    ReplyDelete
    Replies
    1. We wa wapi na hizo xxx zako?! Simu yako haina button ya s au?!

      Delete
  9. Ncha kali, domo linanukaaaa

    ReplyDelete
  10. wivu tu, wenzio ndio tayari wameshapendana, utakufa na kijiba cha roho

    ReplyDelete
  11. KILA LA HERI MAMITO

    ReplyDelete
  12. All ze best mumy! May ur ship with Ruben last 4ever! Enjoy

    ReplyDelete
  13. aaaaaaaaaaaaaaaaah, kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, mashauzi yote dina kwenda kuzaa na walewale mashoga, khaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shoga ulimkaza wewe ukamuona? Huezi kusema mtu msenge km hujamtia. Kwa hyo na ww ni msenge,? Embu heshimuni watu sio kutukana kwa maneno ya kusikia.

      Delete
  14. mnabishana humu, Dina yeye hana habari na mtu, kweli mjinga huamin kila jambo!

    ReplyDelete
  15. Mmmmh ndege kweli Mbwa Kali Akiwa Uwanja wa Nyumbani na Ugenini

    ReplyDelete
  16. MALAYA WA KIHAYA HUYO,MASHAUZI MENGI KAISHSIA KUNASA KWENYE TUNDU BOVU!

    ReplyDelete
  17. i wish u ol the best mummy.Mungu akutangulie kwenye kila hatua.Mungu amsimamie baby awe na uzuri kama yusuph au ester ,hekima kama mfalme suleiman ,mcha Mungu na mtoaji kama ibrahimu ,tajiri na imani kwa bwana kama Ayubu, muombaji kama danieli.ubarikiwe mnooooooooooooo.

    ReplyDelete
  18. Nakutakia Mema mungu akutangulie ktk maisha yako mpya

    ReplyDelete
  19. Mungu akufanikishe ujifungue salama

    ReplyDelete
  20. Msijali kisemwacho na binadamu mbali omba sana kwa Mungu mambo yako ya nyooke tuu Dina. Ubinadamu ni kazi kweli kweli.

    I am happy for you Dina Marios and Reuben!

    ReplyDelete
  21. mwakemwake tu,yote maisha

    ReplyDelete
  22. Hongera Dina na Reuben kwa uamuzi wenu wakupata mtt watu kusema nikawaida achaneni nao ukisikia wachawi ndio hao

    ReplyDelete

Top Post Ad