KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Shakoor Jongo
Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
Habari ‘hoti’ zinadai kuwa Clement anataka Diamond arudishe gharama alizomgharamia Wema ndipo waendeleze mapenzi yao.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa kigogo huo, Clement anadai kwamba gharama alizotumia kwa Wema ni kubwa mno lakini bidada hakujali chochote na kuukabidhi moyo wake kwa ‘Mtoto wa Tandale’ ambaye ndiye barafu wa moyo wake.

Stori: Shakoor Jongo
Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
Habari ‘hoti’ zinadai kuwa Clement anataka Diamond arudishe gharama alizomgharamia Wema ndipo waendeleze mapenzi yao.

“CK (Clement) anaumia sana kuona kuwa ameteketeza fedha nyingi kwa Wema lakini bila hiyana, mrembo huyo akabwaga manyanga kisha akarudisha mpira kwa kipa na kuanza moja huku kaka mkubwa akiachwa kwenye mataa,” alitonya mnyetishaji huyo bila kufafanua kama Clement aliachwa mataa ya eneo gani.

Akiendelea kutiririka bila kuweka nukta au ya mkato, mtu huyo alisema kuwa kiasi ambacho kinadaiwa kuteketea kwa Wema kinakaribia Sh. milioni 279.6 ambazo gharama hizo zinahusisha vitu kadhaa alivyowekeza kwa Wema.
“Kuna gharama za utengenezaji wa Filamu ya The Super Star ambayo haijulikani kilichotokea kwani hadi leo haionekani sokoni.

“Kama hiyo haitoshi kwenye uzinduzi wa filamu hiyo akamleta staa wa filamu wa Nollywood, Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde na sherehe mbili za uzinduzi zilifanyika katika hoteli kubwa mbili tofauti, ikasemekana milioni arobaini na nane ziliteketea.
“Kuna kodi ya pango la ofisi ya Wema ya Endless Fame iliyopo Mwananyamala Koma-koma, Dar, jamaa alilipa milioni nane na laki nne kodi ya miaka miwili ambayo kwa mwezi ni laki tatu na nusu.

“Ukiachana na gharama za nyumba na ofisi, kuna gari aina ya Audi Q7, inadaiwa kanunua Clement kwa Sh. milioni 98, Toyota  Harrier Lexusya Sh. milioni 48 na Toyota Mark X iliyomtoa Sh. milioni 25.
“Usisahau hata lile Toyota Noah ‘kitimoto’ la ofisi alinunua Clement kwa Sh. milioni 10, faini aliyolipiwa

Kajala Masanja mahakamani Sh. milioni 13, gharama za kuirekebisha ngozi yake alipoenda nchini China iligharimu Sh. milioni 14, yaani jumla ni kama Sh. milioni 279 na ushee. Na hiyo ni kwa vitu vinavyojulikana ukiachia mbali shopping za Dubai,” alitiririka kikulacho huyo.

Baada ya kujazwa data, Risasi Jumamosi lilijaribu kumtafuta kigogo huyo lakini licha ya juhudi zote hizo hakuweza kupatikana ndipo alipogeukiwa Diamond:
 “Sitishiki kwa lolote lile kwani huko nyuma kabla sijawa maarufu kivile enzi ya Nenda Kamwambie (wimbo) niliwahi kukaa mahabusu kwa siku kadhaa na sababu ilikuwa mapenzi kwa hiyo kwa hili siogopi kitu kwanza mimi ndiyo alinichukulia na mwana mpotevu amerudi kundini,” alisema Diamond anayekimbiza na Ngoma ya Number One.
Chanzo:Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. udaku umezidi hamjui hata kudanganya si mlisema kigogo amefilisika nyie acheni ukumu Wema kwa diamond ndo kadata habanduki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha…….you are very smart

      Delete
  2. huyo kigogo atulie kimya, alisahau kua mapenz hayanunuliwi kwa pesa.
    wema ndo huyooo kasharudi kwa barafu wa moyo wake, awaache wema na dai wa laleee miaka 1000 mbele.

    ReplyDelete
  3. JINA LA KIGOGO TUNATAKA…..KAMA HAMTAJI BASI NYINYI NI WAONGO…

    Anyway this is UDAKU…NO FACTS NEEDED...

    ReplyDelete
  4. Huyo kigogo hizo pesa zote za kuhonga ambazo pengine hazijulikani hata kwa mkewe kazipata wapi kama sio za wizi? Je yeye alikuwa hapati huduma ya penzi au anafikiri pezi lilikuwa la bure?
    Kinachokuja usiku huondoka usiku.

    ReplyDelete
  5. Sasa nayeye akiambiwa arudishe Penzance alilokua anapewa atarudisha?aache ufala huyo kigogo,hizo pesa anazodai Ndio gharama ya Penz la Wema...jitu zima hovyooo..amuache Wema na dai wake,nani kamwambia mapenz yanalazimishwa

    ReplyDelete
  6. jina limetajwa jamaa nae aludishe utamu alio pewa na wema

    ReplyDelete
  7. Hahahhahhahh.....uyo wema malaya mkubwa anajifnya hata hawaendani na diamond kabixa anajizalilisha ...kauacha mpenzi wake wazamani kixa hana hera ...kahaba mkubwa huyo

    ReplyDelete
  8. safi sana, umekomeshwa na ufisadi wako, wewe kigogo hela zote hizo za kumpa huyu mtoto mdogo c za wizi, hayo ndo malipo sasa, mmezoea kuiba hela za wananchi na kuzitumia kwa akina dada zetu wadogo na kuwaambukiza ukimwi, nyau we!

    ReplyDelete
  9. Na yeye akiambiwa arudishe utamu wa mkundu wa wema Na utamu wa kuma atarudisha umekula kwake ameacha kutafuta watoto wakali wako Masaki uko au maeneo mengine wakalu kuliko wema wana njaa Tele Ata utumii hela zote hizoo unatomba adi unachoka mwenyewe Na wakuma nzurii tuu Na safii unaenda angaikia kuma ya bongo flavour Na wa bunge mshexxxzx pole

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukweli mtupu kuma huyo huenda hata mama yake hana hata baiskeli ila malaya kamaliza mkwanja.Kweli nimeamini mapenzi hayana majanja yaani elimu imeshindwa kumsaidia

      Delete
  10. Huyo kigogo kwani wema alikuwa anamwekea gun kichwani kumlazimisha atoe hela??? Yeye alikuwa ananunua penzi ambalo halikuwa lake na je yeye scandal alizomsababishia huyo wema kila siku magazetini Mara mke amecharuka hebu aende huko kutokuwa na busara imekula kwake. Ndoa kajivurugia mwenyewe wema nae hamtaki tena yeye aendelee tu kutumikia ikulu kwa amani

    ReplyDelete
  11. Baba umeshamtomba, umemfila,umemnyonya kuma,kakunyonya mboo,kakupuliza mkundu,umemtia vidole kumani na matakoni bado tu, hana jipya huyo wema msenge tu,na maskini, we mtemeshe magari yoko aende zake kwa huyo bwege mwnzake, hajui kuwa pesa sio kama mkundu kila mtu anao,atarudi mwenyewe kundini kumamake

    ReplyDelete
  12. Mapenzi yatumie yakiwepo yakiondoka ndo yamekwisha haijalishi ulimfanyia kitu gani wanawake hawana hizo fanya mengine tu upate pesa nyingine ukaonge kwingine.

    ReplyDelete
  13. HUYO KIGOGO, WEMA, KAMWAMBIE WOTE MAFUSIKA WA KUTUPWA, HAWAFAI KTK JAMII!
    Naanza na anayejiita taita, hv wakat unawekeza mil. Zote hzo alikuwa mkeo au alkuwa kahaba tu wa muda...? Jibu la swal hlo ndo suluhu yenu wote mafuska washenz, kaen meza moja na "numbe one" muoe huyo malaya!
    Na weye diamomd huna haya mbo wema aged we kachanga, kwa nin uctafute mchanga mwenzio??....unaoa malaya wakat uko tumbon mwenzio ana miaka 6 na umalaya wake, tafakar uamuz weye na ndugu wako%
    wema una ukurutu kwenye kuma ama?

    ReplyDelete
  14. Huyu jamaa akae na mke wake tu atulie, make pesa alitoa mwenyewe kwa kupuliziwa dawa za waganga. sasa anakinga maji mvua imekwisha acha kunyesha! Mkeo hata laki moja kuimiliki kwenye mkoba wake hana, wewe unaonga kwa wapita njia ambao huna kumbukumbu nao. kumbukumbu yao utawakumbuka kwa kufilisiwa pesa zako. tchao

    ReplyDelete
  15. Kigogo mpumbavu

    ReplyDelete
  16. Kwanza uyo kigogo alivyokuwa anamtomba yeye amesahau kuwa ukitaka vizuri sharti uvigaramie kwanza wema mzuri angeenda kwa penny wa buree hana mvuto si wema mtoto kudeka daimond usiyasikilize maneno ya wambea mbolo zao wanamtamani wema weeeela weela wema na daimond mika 1000 mbeeeele.

    ReplyDelete
  17. Wema na mpenda jamani simpendi penny nawivingi lake kama nyani lilikuwa linamashauzi kweli akumuona joketi akaingilia penzi la wema sinta akawapamba sana akaachwa akarudi kwa wema akujua penny akajipendekeza kwa dai akamsugua ili aone utam kama wa wema akaona akuna akaamua mm bora nirudi kwa wema anamfikisha tena kakili mtoto mjuzi wa kupetipeti pimbi ukusikia wimbo huo mpaka ukaenda kumpa kuma sasa wanawake mjifunze kupitia malaya hao muwaache daimond na wema wanawezana wenye eti tuache tulale sasa uwaache na wenyewe watombane kuma lako halina mvuto kishenzi sana kizee hiiki

    ReplyDelete
  18. Naombeni ushauri mwenzenu nnamatako makubwa mpaka nakosa raha

    ReplyDelete
  19. Naomba ushauri mwenzenu na makario makubwa sana mpaka nakosa raha

    ReplyDelete
  20. Hii tamthilya kali ngoja tusubiri season inayofuata

    ReplyDelete
  21. wewe unaemtukana wema unafirwa? kama hawaendani mbona kamludia? ucmchukie dada wawatu bule kama unamtaka diamondi sema.

    ReplyDelete
  22. wote mnao mtukana wema nendeni mkawafile mama zenu wasenge nyie

    ReplyDelete
  23. ushauli kamuombe mama yako, mtu mwenyewe umepigwa pac hayo makalio uyatoe wapi, mkundu wewe

    ReplyDelete
  24. Alikuwa na demu kampa simu walipoachana kampokonya...iriri.....

    ReplyDelete

Top Post Ad