KUNA TAARIFA KWAMBA INADAIWA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa tulizozipata muda mfupi uliopita zinasema kuwa Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa Amefariki Dunia leo Asubuhi. Tunaendelea kutafuta ukweli wa jambo hili.

Tutazidi kuwapa taarifa Kadri tunavyozipata kutoka vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo serikali ya Tanzania ili tuweze kujua kama Taarifa za Kifo ni za kweli fununu zisizo kweli.

Updates :
-------------

 Waziri wa Fedha William Mgimwa amefariki dunia leo katika hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa.


Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue, ambaye amesema Mgimwa amefariki majira ya saa 5:20 saa za Afrika Kusini ambapo ni sawa na saa 6:20 kwa majira ya Tanzania
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.RIP DR.

    ReplyDelete
  2. REST IN PEACE MY DAD , TAIFA LILIKUWA LINAKUHITAJI SANA , ULIKUWA MTU MWEMA MNYENYEKEVU , NAWAPA POLE FAMILIA YOTE YA MGIMWA POPOTE PALE WALIPO

    ReplyDelete

Top Post Ad