LADY JAY DEE ANUNUA RANGE ROVER MPYAAA...SEE PHOTOS

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Respect kubwa kwa mwadada Lady Jay Dee......Hiyo ni Range Rover Sport ...Nomaaaa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo ni range rover evoque..sio sport..nomaaa!

    ReplyDelete
  2. HIYO RANGE ROVER NI JIPYA KUTOKA KIWANDANI AU NI HAYA USED TULIYOYAZOEA MIJINI??ILA NAMPONGEZA SANA.

    ReplyDelete
  3. Hapa Tz Hizo gari ni za kuhesabu

    ReplyDelete
  4. Itakua used la hapa hapa Tz ndo maana ameficha namba

    ReplyDelete
  5. Duh mkubwa mkubwa 2 hongera qeens of bongofleva aka anaconda

    ReplyDelete
  6. achen wivu wa kisenge baba zenu wana uwezo wa kununua hata hilo used??? watz ni makuma miaka nenda rudi wivu mpaka kwenye mapumbu bada ya kumpongeza mna muwangiankenge nyie maahasidi mnaojichubua kama dida.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naipenda hiyi coment yako na inavyo onekana wewe umesoma na unaelimu yahali ya juu na ulisha tembeya nakubali achana nahao ambao hawajaenda shule. Nasema tena serekali fungueni vituo vya uelimishaji ili watanzania wawe wanaelewa maandishi na ku coment mambo ya maana achene bifu nyinyi wapungufi wa elimu.

      Delete
  7. Mbona mkipiga picha na magari yenu mnaficha namba? Hata umenunua lenye usajili wa A au B mm nakupa hongera sana coz kumiliki range sio mchezo

    ReplyDelete
  8. Hongera kazi nzuri kiukweli hapa tz ni yakutafuta

    ReplyDelete
  9. Mnaita mpya no. Imefichwa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani ikiwa used au brand new si yake kanunua? Kuficha namba ni mtu kupenda privacy yake tu. Mlivyo na wivu tu na yy kununua hamshindwi kufanya lolote. Grow up guys.

      Delete
  10. Lini mchango wa kusaga na ruge kwani alitengeneza bifu feki kupata kick na promo ya uzinduzi wa album yake mpya ya joto hasira.Bila hivyo alikuwa na bado anakimbizwa na sky light band kila ijumaa. Anaconda ni movement alibuni kupata kiki dhidi ya Clouds na siasa ya CCM na CDM EATV na Times FM zikaingia ndani .Hamewazalilisha sana Ruge na Kusaga bila kosa lolote wakati wao ndio wamempa platform ya mafanikio na mumewe.Wakati unafurahia hilo gari na pesa jua kuna watu uliwakwaza kwa makusudi na kuwadhalilisha bila kosa.Binafsi nikiwa mtu wako wa karibu sikupenda njia uliyotumia juu ya mtu kama Kusaga ambaye tena mnatoka mkoa mmoja tena msabato mwenzio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hebu panuka kiakili wewe!!!!!!..usiabudu watu kana kwamba ndiyo wanaoshikilia hatima ya maisha ya wengine!!!!Mungu pekee ndiye mshika hatima zetu!!

      HONGERA JAY DEE,

      Delete
  11. bonge landinga Domo hanalo hilo atacheza sana ngololo wapi

    ReplyDelete
  12. Either used or reconditioned ni lake lakwako li wapi

    ReplyDelete
  13. Aina hii ya Range Rover(EVOGUE) ni mpya hata kwa nchi za Ulaya... Zimeanza kuonekana mitaani kwenye nchi za Ulaya kwa mara ya kwanza 2011... Kwa maana hiyo hata aliyeko Ulaya gari hii inageuza shingo za watu kila inapoonekana barabarani. Ikiwa kweli mdada anayo hapo Bongo then heshma na hongera kwake...

    ReplyDelete
  14. Duh!! Hongera dada we nomaaaaa

    ReplyDelete
  15. Lina mchango mkubwa sanawa kusaga na ruge kwani alitengeneza bifu feki kupata kick na promo ya uzinduzi wa album yake mpya ya joto hasira.Bila hivyo alikuwa na bado anakimbizwa na sky light band kila ijumaa. Anaconda ni movement alibuni kupata kiki dhidi ya Clouds na siasa ya CCM na CDM EATV na Times FM zikaingia ndani .Hamewazalilisha sana Ruge na Kusaga bila kosa lolote wakati wao ndio wamempa platform ya mafanikio na mumewe.Wakati unafurahia hilo gari na pesa jua kuna watu uliwakwaza kwa makusudi na kuwadhalilisha bila kosa.Binafsi nikiwa mtu wako wa karibu sikupenda njia uliyotumia juu ya mtu kama Kusaga ambaye tena mnatoka mkoa mmoja tena msabato mwenzio.

    ReplyDelete
  16. Lina mchango mkubwa sana wa kusaga na ruge kwani alitengeneza bifu feki kupata kick na promo ya uzinduzi wa album yake mpya ya joto hasira.Bila hivyo alikuwa na bado anakimbizwa na sky light band kila ijumaa. Anaconda ni movement alibuni kupata kiki dhidi ya Clouds na siasa ya CCM na CDM EATV na Times FM zikaingia ndani .Hamewazalilisha sana Ruge na Kusaga bila kosa lolote wakati wao ndio wamempa platform ya mafanikio na mumewe.Wakati unafurahia hilo gari na pesa jua kuna watu uliwakwaza kwa makusudi na kuwadhalilisha bila kosa.Binafsi nikiwa mtu wako wa karibu sikupenda njia uliyotumia juu ya mtu kama Kusaga ambaye tena mnatoka mkoa mmoja tena msabato mwenzio.

    ReplyDelete
  17. Lina mchango mkubwa sana wa kusaga na ruge kwani alitengeneza bifu feki kupata kick na promo ya uzinduzi wa album yake mpya ya joto hasira.Bila hivyo alikuwa na bado anakimbizwa na sky light band kila ijumaa. Anaconda ni movement alibuni kupata kiki dhidi ya Clouds na siasa ya CCM na CDM EATV na Times FM zikaingia ndani . Amewazalilisha sana Ruge na Kusaga bila kosa lolote wakati wao ndio wamempa platform ya mafanikio na mumewe.Wakati unafurahia hilo gari na pesa jua kuna watu uliwakwaza kwa makusudi na kuwadhalilisha bila kosa.Binafsi nikiwa mtu wako wa karibu sikupenda njia uliyotumia juu ya mtu kama Kusaga ambaye tena mnatoka mkoa mmoja tena msabato mwenzio.

    ReplyDelete
  18. noana kuna annoy hapo juu ametumwa na kina kusaga na ruge,na hiyo sms unaituma zaidi ya mara mbili,si bure umetuma,ila ndio mdada keshafanikiwa,hongera jide

    ReplyDelete
  19. Hongera dada yangu. Ila uwakumbuke yatima pia. Wanahitaji msaada wa watu kama nyie...

    ReplyDelete
  20. mnaficha wapi sura zenu

    ReplyDelete
  21. Hongera jay dee ukiwacikiliza wabongo hutafanya mambo yako,,na nyie mnaosema used usikute hata ktk ukoo wenu hata hitoria ya kuwa na gari hamnaga..elimiken na muache wivu

    ReplyDelete
  22. Hiyo siyo Range Rover Sport..ni Range Rover Evoque....aiseeee..Overrr....!!!1

    ReplyDelete
  23. mia shemeji endelea kukaza watakao jitambua watajitoa kwenye radio ya wafu na uongozi wao coz bila ya wao inawezekana.

    ReplyDelete
  24. Niwaulize wanaosema used, (1) kwa kawaida yaliyotumika mengi tumeshayaona je wewe unayesema hili ni used la kwanza umeliona wapi kabla ya hapa kwa jide? Mimi la kwanza nimeliona kwa P-Square alilompa mkewe kama zawadi ya harusi huko Nigeria mwaka jana je wewe? (2) Jaribu kupitia mitandao yote inayouza used cars halafu uniambie mtandao wanaouza hili gari katika list yao.!! Acheni chuki za kijinga kama mtu anaweza anaweza tuu. Big up J.D na mm nakaza buti ninunue BMW M-model ya 2014 najua watasema nalo ni used wanasahau kama hata wake zao wanaolala nao wamewaoa wakiwa used pia..!!!!

    ReplyDelete
  25. Hyo gari ni mpya nyie makuma mnaomponda jide na mtakufa masikin na roho zenu mbaya

    ReplyDelete

Top Post Ad