MASTAA WAMSENGENYA WEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA
MASTAA wa kike Bongo wamecharuka na kutoa yao ya moyoni baada ya nyota mwenzao, Wema Sepetu kubwagwa na aliyekuwa mpenzi wake, anayetambulika kwa jina moja la Clement na kumnyang’anya vitu alivyompa kama zawadi wakati wa mapenzi yao.

Kuhusu Wema kuporwa ofisi yake ya Endless Fame Film Production, kupewa notisi ya nyumba aliyokuwa amepangiwa na kigogo huyo anayeelezwa yupo serikalini na kunyang’anywa magari siyo stori kabisa mjini.

Risasi Mchanganyiko lilifanya mahojiano na mastaa hao wikiendi iliyopita, kwa njia ya simu na kuwahoji kuhusu kitendo alichofanyiwa mwenzao ambapo walifunguka bila wasiwasi wowote.

USENGENYAJI
Wakali hao, waliopata kuzungumza na waandishi wetu kwa nyakati tofauti, baadhi wamemponda Wema kwa kutokuwa makini wakati akiwa kwenye uhusiano na kigogo huyo kwa kutaka kukabidhiwa hati za vitu alivyopewa.

Wa kwanza kuzungumza ni Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ambaye alisema: “Mimi namshukuru Mungu kwa sababu sijapangiwa nyumba na mwanaume.  Naishi maisha yangu simpo ya furaha na amani, sipendi kuigiza maisha. Hao wasanii wanaopenda mambo makubwa wakati hawana uwezo,  nawashauri wafanye kazi, filamu zinalipa sana. Wasipende vitu vya haraka, maana siku zote vizuri huja taratibu.”


ZUWENA MOHAMED ‘SHILOLE’
“Mastaa tusijiachie sana kwa wanaume, kama ukipewa gari, upewe na kadi... tusidanganyike na tusipende kuhongwa, tutafute vya kwetu. Kama mtu anakupenda na anakusaidia kwa mapenzi mema, sawa mheshimu.”

WASTARA JUMA
“Inabidi tujitambue jamani, maana kuna watu wanatembea na mastaa makusudi ili wajulikane au kwa manufaa yao wenyewe. Tuache kuishi kwa kutegemea migongo ya wengine. Wengi hawana mapenzi ya kweli. Hata kama mmeachana, sasa kuna sababu gani ya kumnyang’anya mtu vitu ulivyompa?”


NURU NASSOR ‘NORA’
“Mimi najisikia vibaya sana... kama mtu unajiamini una kipaji, kwa nini usifanye kazi?  Mastaa tuache kujitangaza, kwa sababu tunatumika kama vyombo vya starehe tu.  Tutafute ndoa, tusitumie ustaa kufanya ufuska kwa sababu mali zinapita na mwisho wa siku tunaharibu maisha yetu.”

TAMRINA POSH ‘AMANDA’
“Utapeli ni mwingi, haya mambo ya kupewa vitu siyo vizuri kabisa, tuache.  Wanawake tuna akili fupi sana na tunajisahau tunapokuwa na wanaume wakati wenyewe wana kitu moyoni mwao, akishapata anachotaka anaanza matatizo.

“Bora nitembelee taksi au Bajaj kuliko kudhalilishwa... wanawake ni wajinga na huwa tunajidanganya kwa vitu visivyo vyetu, mwisho wa siku tunaumbuka. Tuache sifa za kijinga.”
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wamuache Wema na matatizo yake! Hivi bila Wema hakuna news eeeh??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumamako navwewe akili yako Ni hivyo hvyo unapewa vitu mnatombwa ovyo mwisho wa simu mnanyanganywa tafuteni vyenu siyo kwa kutegemea kuja mbwa nyie huyo wema Na team yake wote wasenge wanajiuza Na kuna rafiki take mmoja anajiita matikibokoyao huyo demu anamwili wa kibaunsa anatako ngumu Kama Alina nyama linazege mtakufa kwa vitu vya watu nyoko nyie bora mpigwe pumbu hivyo hvyo jamaa akichoka anakunyanganya vitu unarudi ulipotoka ...ndio maana masuper star wa bongo mnatumika Sanaa kwa tamaa acheni usenge

      Delete
    2. Roho itakutoka na kukuporomoka heheeeeeeee si bora alotombwa akahongwa wewe je? Live Wema na team yake alone as longer as popote alipo Wema yuko happy. Without Wema na Diomond magazeti ya udaku hamuuzi kabisa poleni sana

      Delete
    3. Mkundu wako nani aporomokwe Na rohoo matako wewe ..mkundu mrefu Kama wangamia au unatombwa Na majini nini unasuoport usenge wa hao watu Malaya fezuri mkubwa weweee

      Delete
    4. Anony 11:37 Mama yangu kakukosea nini mpaka umtukane lakini!! Mimi kusema wa muache Wema na mapungufu yake ndio umenitolea mitusi yote hiyo!? Umenionea kusema kweli, umenitukana matusi makubwa bila sababu na muachie Mungu awe hakinimu. Yes wamuache Wema na mapungufu yake kwani hakuna alie kamilika hapa duniani!

      Delete
  2. Hata mimi namishangaa hii mijitu, bila wema kumtaja hampumui????? hamuuzi? hamlali, mburura wakubwa nyie.

    ReplyDelete
  3. Wema wema wema unawakosesha wenzio ussingiz mama...nahic sm tim utauwa unajuta kuzaliwa mzuri na mwenye nyota kal japo faida ni nying....napenda tu usipowajali wala kuwajibu wabaya wako....yan km huwasikii vile....wew ndio maa a halis ya staaa

    ReplyDelete
  4. KUMA NA WEMA WENU MIKUNDU NYIE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wewe ungekuwa huna mkundu wako ungeeishiii siungesubiri kufanyiwa surgery at least unyeee kwenye tumbo a.k.a ungetumia colostomy pumbavu wewe. Shindwa na ulegeeee kabisa. Wemaaaaaaaaa uko juuuuuuuuuuuuuuuuuu sana

      Delete
  5. Jamni huyo wema amekua mswaki kila siku yupo midomoni mwa watu duh! Pole sana wema

    ReplyDelete
  6. Acheni apewe vipande vyake ana ubongo wa kuku huyo wema.. alivyokua anatumbua bila kupata akili ya kujenga au kufungua biashara yake alikua anategemea nini?? mi na imani angekua na akili angakua na biashara zake kubwa tu hapa mjini.. alikua anaiga maisha ya kina kim kardashian kwa pesa za kutombwa!! ptuuu..

    ReplyDelete
  7. Kwa yalio mkuta atajifunza jamin muacheni coz kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa

    ReplyDelete
  8. FALA WEWE 11:36

    ReplyDelete
  9. uzuri umekuponza mamaaa

    ReplyDelete
  10. Ushauri wangu kwa wema inabi akuwe sasa na atizame mbele anaenda wapi na anaelekea wapi naajue niini anatakia afanya maisha ahirudi nyuma lkn inasonga mbele.

    ReplyDelete
  11. Na uyo wema malaya tu mdada ajieshimu shepu lina mzuzuwa na sura pana kama kipakatiyo cha mguu alisha chezewa na wengi sana bora atuliye na aolewe sasa tuna mchoka kumamae

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma ya mama yako mkundu wa mama yako utafanana na sura ya wema shoga we kauna nyege ufilwe

      Delete
    2. Nadhani unalaana humfikiiiii Wema hata nusu robo yake emu tuliza ball lako. Wema wakuache miaka 8000

      Delete
  12. Mkundu Water tu Wema kwa kufirwa Group SEX! Kwa kipi Alicho nacho ET ana Nyota kwa nyota ipi haswa! Kutwa kwa Waganga na Mama yake kuweka mambo sawa, na alimrudia DIAMOND sbabu alishaachwa na CLEment wa Hamida! Kuma yke

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nadhani wewe huwa ukimsindikiza huko kwa waganga. Mate yatawatoka sana bado Wema ni jembe atawakwama sana umgekuwa kama Wema nadhani ungetamba sana acha wivu wako

      Delete
  13. Wanatengeza promo kwa mashabiki zao bongo movie kwisha kazi ilikuwa enzi za akina kanumba sasa hv mademu ni kuonyesha viuno na nusu uchi tu mamae zao wakafie mbali na dunia.

    ReplyDelete
  14. haya kama uwez kujituma kutafuta mapene wenzio tuna pata pesa kwa njia rahisi sana,mimi natengeneza dora 200 hadi mia 500 kwa siku,wewe je mimi si mchoyo tuache scando click hapa na tuwepamoja
    http:/tasktojob.com/index.php?task=109866
    just click

    ReplyDelete
  15. http://tasktojob.com/index.php?task=109866

    ReplyDelete
  16. Tatizo la madem wa bongo wanapenda kick kupitia pumbu,wakijidai hawana shida kila cku wanabadil wanaume ka daladala leo yamemkuta,wapunguze ustaa mbona wataish 2,wafanye x kwa malengo kama mama wawil,apunguze ushindan na uwoya wa kuuza sura kwa scrin wakat hawana ki2 ,wanawaza mitoko na mavaz 2 leo aibu yake.karud kwa mond tena ye2 macho.

    ReplyDelete
  17. Sio, kwamba wanamsengenya, That's the Fact anajidhalilisha saana, kutembea na mme wa mtu, na mama mzazi nae anajua?? What does it mean?? Tunaita UMALAYA!

    ReplyDelete

Top Post Ad