TOP 5 YA WABUNGE WAREMBO WENYE MVUTO BUNGE LA TANZANIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa kipindi hiki hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.

1.CATHERINE MAGIGE (CCM)
2.VICK KAMATA (CCM)
3.JOYCE MUKYA (CHADEMA)
4.MARRY MWANJELWA (CCM)
ESTER MATIKO (CHADEMA)
Nani Anabishaaa?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahaha ni top five ya machangu doa bungeni

    ReplyDelete
  2. Bora changudoa wa bungeni wenye michango kwenye jamii zao kuliko nyie wa mitaani msio na maana.pumbavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahahhaaa
      jibu limenichekesha sana, ila labda niulize wana mchango gani?

      Delete
    2. Sura zao na uzuri wao ni kwa waume zao kinacho takiwa uzuri wa kazi zao, kweli hii ndiyo mnachokisifia bungeni come on

      Delete
    3. This comment has been removed by the author.

      Delete
  3. pamoja me siyo ccm, lakini Magige katulia! sema akipungua ndiyo atakuwa bomba zaidi!!

    ReplyDelete
  4. ACHA KUMSIFIA MAMA YANGU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kuogopa bila kusifiwa nakupigwa miti unazani ungepatikana wewe

      Delete
  5. Hao Ni chakula cha wakubwa hao wote wanamizee kwenye system..

    ReplyDelete
  6. we mtoto, nani kakuruhusu kuangalia hizi blog? mama yako mzuri aiseee!

    ReplyDelete
  7. ni nzur lkn wa kawaida

    ReplyDelete
  8. ni nzur lkn wa kawaida

    ReplyDelete
  9. Acheni majungu, wapeni sifa zao wanatisha

    ReplyDelete
  10. Mbona mbowev hayupo au ye top 10

    ReplyDelete
  11. Mbowe atakuwepo kwenye top 5 handsome wabunge, yeye atakuwa wa kwanza!!

    ReplyDelete
  12. jamadi mbona mizengo kapinda ayupo.

    ReplyDelete
  13. Christ wangu!!' Joyce mukya!!! Wewe napinga kbs ana Mvuto gan miguu uwiiiii Kama fimbo ya kuchapa watoto shuleni! Hao wengine Si wafaam! Ila Easter mitiko ana Matege mbaya!!!

    ReplyDelete
  14. mke mdogo wa mbowe naye yumo naona

    ReplyDelete
  15. Badala utoe mejembe ya wabunge Kama akina Halima Mdee! Anna kilango!! Lucy owenya"" unatoa machangudoa vipi wewe!!!!

    ReplyDelete
  16. Top5 ya umalaya na kutembea na wanaume wa watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. lakini hawaja tembea na baba yako, MKUNDU WEWE kuropoka tu

      Delete
  17. Mwanjelwa ndo mpango

    ReplyDelete
  18. una heri ewe bikira maria mwanamke mrembo uliebarikiwa kuliko wote dunian lakin ulivaa hijab-subhanalah

    ReplyDelete
  19. Halima mdee yupo wapi?

    ReplyDelete
  20. ana makinda mbona hawajamweka

    ReplyDelete
  21. Anna Makinda ndo wa kwanza kwa Wabunge wenye mvuto hadi anakuwa spika wa Bunge mchezo! wengine wote tupa kule......

    ReplyDelete
  22. Weka vitu vya maana kesho utaweka the top 5 angriest men next time women please tuna takiwa kuwa judge na mchango wanaotowa mbugeni. mahali paulembo sio hapo please

    ReplyDelete
  23. women power beauty and brains chezea

    ReplyDelete
  24. kuna ki2 inaitwa vitanda maalum kwan hatuijui?

    ReplyDelete
  25. waoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  26. jamani naomba msimzalilishe mama makinda, tafadhali!!

    ReplyDelete
  27. Anna Makinda ndio mpango mzima

    ReplyDelete
  28. Ilimradi wewe ni chakula cha kigogo, basi utakuwa mbunge viti maalum.

    ReplyDelete
  29. ni mtazamo ila ester yupo poa sana kwani yupo natural. i like

    ReplyDelete

Top Post Ad