MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NIGERIA. Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.

Pastor Frank Kabele mwenye umri wa miaka 35, aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.

Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya pastor huyo kujaribu kutembea katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anafanya utaniii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Angefanikiwa huyu angepata wafuasi wengi SANAA…..vinyoka vyake vimemuangusha tu ...

      Delete
  2. Anadhani mwenyezi mungu ni wa kujaribiwa?hapo alikuwa anamjaribu mola na wala si kumuomba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani,,,mbona blog hii,,mnarudia history ya zamani mnoooo.
      hiki kitu kilitokea huko Mombasa Kenya zamani mno,,,na huyo muhubiri wala hakufa aliokolewa,,,Labda kama imetokea nyingine huko Nigeria...
      Hata hivyo ni kweli 'Imani ya mja ni kifuani mwake no need showing up!

      Delete
  3. Lol..kujifanyaga ni waungu , muachieni Muumba kazi yake!

    ReplyDelete
  4. Admn hapo naomba unirudishie change yangu tafadhali.! Nahisi kama naibiwa. Hebu kwanza tutafakari hii picha, huyu unayemwita pastor alikuwa anahubiri peke yake mbona kondoo wake hatuwaoni? Halafu mpaka azame ghafla hv alikuwa anahubiri akiwa ktkt ya mto? Nijuavyo mm mtu ukiwa unayaingia maji either ya bahali, ziwa au mto huwa yanapanda polepole sasa huyu vp.? Na mpiga picha je alijiandaa na tukio?

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mbuzi hiyo pic tu inayomaanisha hilo tukio sio pic halis...unatumia matako kufikir nn shenz

      Delete
    2. Kijana umekuwa uktukana saana cjui unanini?kuwa na hofu na Mungu bhana co unatupa mimatus had bas..

      Delete
  5. kwa imani ya rohoni tutapona na sio kwa imani yakujitafutia hela.
    cku zote mungu hajaribiwi.

    ReplyDelete
  6. MWACHE AFE WANADANGANYA SANA WATU KUMBE NI WASHENZI TU.

    ReplyDelete
  7. seriously alivyozama haikuwezekana kumuokoa???.... mmmmh

    ReplyDelete
  8. Hahahahaha jamaa katisha sana

    ReplyDelete
  9. bora kafa.angepona angejfanya mungu mtu

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  11. dah bora mwe! maana ingekuwa mwsho wa dunia

    ReplyDelete

Top Post Ad