NIMESIKITISHWA NA CHADEMA KUKODI VIJANA WA KUMZOMEA ZITTO LEO MAHAKAMANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimehuzunishwa sana na nimesikitika chadema kukodi vijana ambao wamekiri wazi kulipwa ili kwenda kumzomea mh zito, hili bila kukemewa ni hatari kwani inajenga chuki kubwa baina ya wapenzi wa chadema. kama staili ya kuwalipa vijana ili washushe reputation ya mtu ni sawa basi ipo siku huu ushetani utawarudia wenyewe time will tell
wapenzi wote wa mh zito j3 tujitose mahakamani kusikiliza shauri la kiongzi wetu 
cc team zito

ISAYA 54:14 Utathibitika katika haki utakua mbali na kuonewa, kwa maana hutoogopa, na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.Tazama, yamkini watakusanyana , lakini si kwa shauri langu watu wowote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako.
Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

46 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa style hiiii R.I.P Chadema mmekwisha nyie haiwezekani watu wanaojenga nyumba moja wakatofautiana kiasi hicho mmejiua wenyewe CCM njia nyeupeee magogoni kwa mara nyingne tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haiwezi kufa kwa ajili ya zito kutoka Malema alifukuzwa ANC na alikuwa maarufu kuliko Zito zito kwenye chama,mbona Kaburu aliondoka CDM na bado ikawa imara?mbona hamwuulizi Zito yule wa 2005-2010 yuko wapi?Au mnasema tu

      Delete
  2. Wewe msenge kweli na unafikiri kwa kutumia matako, mbona pale walikuwepo vijana wa pande mbili na wote wslikuwa wanazomeana kulingana na ushabiki wao? Siasa iko hivo dont be stupid hata Kikwete huzomewa sometime mabarabarani ndio democrasia, itakuwa zitto, mbona mnamkuza sana zitto as if ni basha wenu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe msenge nenda kaungane na lema mkafirwa zito amtamueza

      Delete
    2. Kuma la mama yako hizbu zito fala tuu Na ww kwakuwa choko Na huyu anajidai kusikitika hamna lolote makuma nyie

      Delete
    3. Kwenda zako wewe mapumbu ya shangazi yako nenda ukaungane na lema mkafirwe

      Delete
    4. Hzibu achana na huyo kuma hajitambui kuma la mkundu wa mama yake..

      Delete
  3. Kiukweli Zitto kwa umri alionao na jinsi anavyopambana na vichwa kibao binafsi nampa big up jamaa kiukweli akipita hapa basi atakuwa amejifunza mengi saana...kuna kipindi nawaza ikitokea Zito amefariki gafla Chadema watahudhuria mazishi?watamsifu kama kiongozi shujaa au hawatatokea...dunia mapito msiwe mnasahau hili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau mm sio mtu wa siasa lakini kwa mwenendo wa Zitto kuna kila dalili za kuwa ni pandikizi, we ona sisiema walivyokuwa wanahaha walivyosikia fununu kuwa anafukuzwa

      Delete
  4. CCM siipendi ila wana njama nyingi sana za kuua vyama pinzani. CUF wako wapi! Na sasa CHADEMA hiyooo inaondoka!

    ReplyDelete
  5. haa ndio siasa ze2. Hizo.

    ReplyDelete
  6. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Zito tunamjua siku nyingi..huo ndio mwisho wake..upeo wake umeishia hapo

    ReplyDelete
  7. Naomba kujua kosa la zito kabwe chadema kwani nahisi ka sielewi tatizo nn!

    ReplyDelete
  8. Chadema moto mwingine pale kuna great thinkers wengi sana kwa hiyo ni kama anajimaliza mwenyewe. chadema ndio habari ya mjini

    ReplyDelete
  9. Maza faka wewe na Hao mamluki wenu wa ccm mnaojifanya et team zito fuuuuuuck!! Kama zito Ana hoja za haki na za msingi hawezi fukuzwa chadema.

    ReplyDelete
  10. wote mnaotetea ujinga wa mbowe na silaa juu ya zzk ni wasenge na uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana...tumiaeni akili kutafakari kwanini mnatumia makalio..??

    ReplyDelete
  11. ZITTO = YUDA ( MSALITI )

    ReplyDelete
  12. Namkubali sana zito....ila chama ndio kimesha kumbwa na mwaka wa shetani...!

    ReplyDelete
  13. Mwandishi acha kupotosha,ushahidi uko wap? Jee km ww umeandika tuu kumtetetea zitto? Tuonyesheni picha basi na mtu aliyekiri amelipwa kumzomea zitto. Waandishi tumieni kalamu vizuri,uchochezi huo. Mfyuuuuu

    ReplyDelete
  14. Baada ya hii migogoro sasa nimegundua bora lile chama cha mafisadi kinaweza kutufikisha tunapotaka salama

    ReplyDelete
  15. mbowe + slaa+ lisu kuma maya zenu mnatuharibia chama chetu..kuma maya zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huwezi kuongea bila kutukana?jenga hoja,inamaana mtu kama akienda kinyume cha katiba yenu muache tu sababu eti ni maarufu,chama imara ni kile kinasimamia katiba yake bila kumwangalia mtu usoni.mbona Mwigamba alipopigwa kwenye kikao hamkusema au sababu cyo wa kanda ingine ?lilipo kuja suala la Zito eti sababu anatoka kanda tofauti acheni siasa za maji taka.mm namfahamu sana Zito nimefanya naye kazi muda mrefu tukiwa pamoja na Halima mdee,John mnyika,nk wakati tuko nation youth forum,tumetetea sana baraza la vijana ambalo lilikuwa linapingwa na Emanuel nchimbi alipokuwa mwenyekiti wa UVCCM taifa na tulikupokutana kwenye kikao Iringa kikavunjika na tukaenda kufanya kikao kingine ZNZ tukaishia kupigwa mabomu.sasa Zito yule niliyekuwa na mfahamu c huyu,muulizeni kama ninayosema ni uongo

      Delete
  16. Kwani kwanin ZITTO unaing'ang'ania CHADEMA? kweli unamapenzi ya dhat ya kuwakomboa wananch kupitia chadema?? mtu ushashtumiwa na mikashfa kibao na bado unaing'ang'ania au unataka kukiua chama?? kwa sasa umepoteza mvuto subir sasa utimuliwe rasmi

    ReplyDelete
    Replies
    1. sure! kama anania yakuwakomboa watanzania kaona njia ni CHADEMA tu!! huyu jamaa alishanunuliwa cku nyingi kukivuruga chama,na amegundulika akatafute pori anye msaliti mkubwa!! anataka na kumtetea amfate chumbani kwake..

      Delete
  17. Mimi ni Mwanachama wa Chadema, Kata ya Magomeni Mapipa, Dar Es Salaam, na pia ni Kiongozi wa Chadema ngazi ya Tawi

    Nakataa kwa nguvu zote, Chadema haina utaratibu wa kukodi mtu kwa ajili ya tukio lolote lile, tuache upotoshaji

    Zitto, alipeleka swala lake mahakamani kwa kuvizia na yeye ndiye aliyejiandaa na hilo swala, sio Chadema, Chadema imekwenda pale kwa kushtukiza, wapenzi na wanachama wa Chadema waliojitokeza huwa wanajitokeza katika event yeyote ya chama bila malipo

    Acheni upotoshaji wa kitoto, msitangazie watu Chadema inatoa hela, Chadema haina hela ya kugawa hovyo hovyo

    ReplyDelete
  18. huyu zito hanisi tu, hawa ndo watu feki, angekuwa north korea wangemuonyesha what time is it!

    ReplyDelete
  19. WAZEE WA MAGWANDA KWAHERI! ...KWAHERI!

    ReplyDelete
  20. WAZEE WA MAGWANDA KWAHERI! ...KWAHERI!

    ReplyDelete
  21. Zito wamemuona 1. Muislam 2. Mmanyema na c mchaga 3. Wanamuonea kwa vile kijana msomi anaweza kuja kuwageuka wazee n ye kuja kuwa raic cna chama lakini kama zitto atagombea uraic nitampa kura yangu. Ila usiwa wangu zitto jiaangalia na uwe makini tusije kukupoteza katika ulimwengu.

    ReplyDelete
  22. chadema haiwezi kuangushwa na hanisi mmoja wewe GAMBA, kile ni chama makini kenye watu makini na machachari, na kwa taarifa yako we GAMBA, chadema siyo chama cha ukabila, kama unaakili utaona wapo wengi pale makabila tofauti, kama LISSU, MSIGWA, MNYIKA na kadhalika, hiki chama hakiendi ng'o kama vile caf na nccr, huyu zito alikuwa anajulika muda mrefu ni mamluki, kwahiyo tunamrudisha kwao kwa MAGAMB!

    ReplyDelete
  23. CCM HOYEEEEEEEEE. YANI MPAKA RAHA.
    ZITO KEEP ON BROTHER

    ReplyDelete
  24. oyeeeeee matapishi!!!!

    ReplyDelete
  25. Ye si ana mvuto kwa vijana?? Aanzishe chama chake, km cio mamluki anang'ang'ania kitu gani?? Au ahamie sisiem huko nako siatawatumikia watanzania!? Hana lolote kuna kitu anatafuta........!

    ReplyDelete
  26. Wachaga mpooo....!

    ReplyDelete
  27. Mbowe 4m six unataka kuongoza nch wachaga bwn kila k2 wao ujanja ujanja 2

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona Kagame ni form II lakini uchumi wa Rwannda ni mzuri kuliko hata wa nchi yako!

      Delete
  28. ha ha ha ha.ccm oyeee.na bado mtambwera sanaaa.walikuja wapinzan weng na nyie mtafyata mikia vle vle.cwapend chadema vurugu kila cku.et wasomi.nyooo wasomi wa vurugu

    ReplyDelete
  29. Tatzo la kubaka fani wengine walikua wachungaji,mapadri..wakasaliti agano wakaoa na kugeka vpasa saut, kubweka na kulaum wengne nn walichofanya tofaut na missuse of time na kuchafua majina ya wengene...zto komaa watakujua ata badae maana wao wanafan ya kubwata temana nao..

    ReplyDelete
  30. Tatzo la kubaka fani wengine walikua wachungaji,mapadri..wakasaliti agano wakaoa na kugeka vpasa saut, kubweka na kulaum wengne nn walichofanya tofaut na missuse of time na kuchafua majina ya wengene...zto komaa watakujua ata badae maana wao wanafan ya kubwata temana nao..

    ReplyDelete
  31. Duuh fujo zimeanza wamesharudi walipoenda kula X-mass!..Tatizo hapa ni elimu,uroho wa madaraka kitojiamini kwa kukosa sifa kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa na hivyo kuwapiga vita wanawaona wanasifa za kushika nafasi zao kwa kuwaita majina mbali mbali kama hain,msaliti,pandikizi n.k!na hilo tumelishuhudia chadema wakati chacha wangwe alipotaka kugombea uenyekiti alipigwa vita hadi kimfika yaliyomkuta vivyo hivyo kwa shibuda aliponyanyua saut kupinga baadh ya maamuzi ya kins mbowe yaliyomkuta mnakumbuka!inahitaji akili huru isiyofungamana na upande wowote au kuburuzwa kisa kasema flan basi ni kweli ili uweze kujua na kupambanua ukweli wa mambo
    NB:HAIWAHUSU VILAZA!

    ReplyDelete
  32. Zitto mi simuelewi kabisaaaaaaaa weka udini na ukabila pembeni. I smell a skank on this dude wewe mtu chama chako kingine kutwa kucha unajitia wewe waelewana vema na wapinzani. Mi nadhani huyu mtu ni wa ccm anatumiwa kukomba information nyeti za chama na kuzipeleka ccm ili avuruge chama. Yale Yale ya mrema mara nccr akishapata info za kutosha na kukabidhi ccm huyo anarukia chama kingine baada ya kuwavurugia chama na umaarufu wote wa chama chini. Hivi kuna chama kiliwika kama nccr? Kabla ya cuf hawajaanza kuvuma na maalim wao muda si muda tunamuona maalim anaanza kuhang na wana ccm eti amani before we know it cuf kwisha habari yake. Zito alikuwa hajapata info za kutosha chadema wakamshitukia mapema akashushwa ngazi kisingizio oh ukabila oh udini oh msomi yes wasomi wenzie wamemsoma mapema njama zake na kujiuza kwake kwa ccm. Analialia mahakamn i ili arudi kukivunja chadema vizuri amaliziwe malipo yake na ccm. Hii nchi haitakaa iendelee kwa style hii. Huyo zito ni mnafiki tu Hana lolote la maana keshajiuza kwa ccm. Na ninahakika wa ccm ndo wamempush kwenda mahakani na wamehonga ili kumfavour zito apewe ushindi ccm inajulikana kwa uoga wa chama kinachovuma na kwa sasa ni chadema tu inayowaburuza na maana wanalilia zito arudi ili kukamalisha kuvuruga anajua wakivuruga chadema hawatakuwa na mpinzani tena. Mdau aliyesema zito alikuwa wa 2005-2010 namsapoti 100% baada ya hapo zito sold himself out to ccm. Mnaosema zito ni msomi blah blah blah kwanini hamjiulizi if that's the case zito anauwezo wa kuondoka chadema akahamia chama chochote au akaingia ccm au aakanzisha cha kwake mwenyewe why does he want to go back to chadema??? Sasa we imeshasema kuna udini na ukabila na ubaguzi kwa nini bado ung'an'gania kurudi kwenye chama Kama hicho??! Na wamekushusha cheo kwa kuona uwalakini wako na mambo yako yasiyoeleweka Kama unaipenda chadema ungekaa kimya na Kama hukuwa msaliti wangejua tu na wangekurudisha kwenye nafasi yako kwa kuamini na kuthamini mchango wako kwenye chama lakini umewadhirishia wewe ni snitch kwa kutapatapa hovyo Mara magazeti Mara mahakani wewe ni snitch zito so go get a life stop fooling people around you're the biggest fool of them all for selling yourself out to ccm you're a bitch

    ReplyDelete
  33. ZITO SOMA NYAKATI,UKIONA MTU ANASHINDWA KUTUMIA ELIMU ALIYONAYO KUTATUA MATATIZO BASI SI MSOMI

    ReplyDelete
  34. Iloooo….Lione kwanza iloooo…..( kijambo ) iloooo….( tarumbeta )…..ilooooo ( miluzi ) iloooooo….( yai viza ) lione kwanza…..( tarumbeta)

    ReplyDelete
  35. zito ni kuma tu mlikuwa hamumjui?

    ReplyDelete

Top Post Ad