MSIKILIZI CHIEF KIUMBE AKIELEZEA KWANINI ALIMPA DIAMOND PRADO YA MIL 245

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa muda mrefu Tanzania jina la mfanya biashara maarufu, Chifu Kiumbe limekuwa intro ama outro kwenye nyimbo nyingi za wasanii wa bongo flava na muziki wa dansi nchini kutokana na misaada mbalimbali anayoitoa kwa wasanii hao.

 Maswali mengi yamekuwa yakiulizwa kwa muda mrefu bila majibu sahihi kutoka kwa mhusika mwenyewe ‘kwa nini hutoa misaada hiyo na yeye anafaidika na nini?

Chief Kiumbe ambaye jina lake halisi ni Muhammed Abdallah Kiumbe, amefunguka exclusively kupitia kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm katika ‘Exclusive Friday’ ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwake kufanya mahojiano na kituo cha radio hapa nchini.

Akifanya mahojiano na Samira, Fadhili Haule na Erick, Chifu Kiumbe aliweka wazi kuwa yeye ndiye aliyemnunulia Diamond Platinumz gari aina ya Toyota Land Cruiser V8. Na kwamba alilinunua kwa $100,000 na ushuru alilipia takribani Million 85 za Tanzania.

“Kuna rafiki yangu hapa mmoja magazeti yanamuandika andika yanasema ‘mzee wa kuloga, japokuwa…rafiki yangu Diamond. Naseeb ni rafiki yangu, swaiba wangu na kipenzi changu. Kuna gari moja kubwa sana analitembelea sasa hivi, zuri sana…najua mnajua lakini mnataka tu nizungumze.” Chief Kiumbe amefunguka kwenye kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm.

“Ni gari ya thamani, kwa sababu nafikiri…nililinunua $100,000 na ushuru wake kama million 85 (za Tanzania), ukijumlisha inakuja kama ‘two forty five’, ni kama million 245.” Ameeleza.

Akielezea sababu za kumnunulia Diamond gari hilo, amesisitiza kuwa ni rafiki yake wa karibu na kwamba kuna mambo ya ndani wanayafahamu wao wawili kama marafiki, “aah..ni mshikaji wangu Diamond, tumeongea naye kiundaniundani mimi na yeye.”

Alipoulizwa kama kuna mkataba wowote kati yake na Diamond, Chief Kiumbe alifunguka, “hakuna mkataba…nimekwambia ni rafiki yangu na swaiba wangu kwa hiyo tunayajua wenyewe chini ya kapeti.”

Hata hivyo, amekiri kuwa Diamond ni msanii mwenye pesa nyingi kwa kiwango chake na kwamba anafanya vizuri kwenye muziki wake, na pia akawashauri wasanii wengine waige mfano wake ili waweze kufanikiwa pia zaidi katika kazi zao za muziki kama alivyofanya Diamond Platinumz.

Akizungumzia kuhusu kile anachokipata kwa wasanii kufuatia misaada mbalimbali mikubwa anayowapa, amesema kuwa yeye hutoa bure na hategemei kurudishiwa. Ametoa mfano kuwa kwa kipato cha wasanii wa Tanzania hakuna ambacho watampa.

“Nadhani dada unaweza ukaelewa maana ya… (akataja neno la kiarab lenye maana ya kutoa msaada) kutoa msaada bure. Sasa ngoja nikuulize swali sawa, mfano mimi sawa, Diamond akipiga show yake ama Tunda akipiga show yake sawa…sasa atanipa nini?” ameeleza.

Lakini hakuna kitu cha bure ‘there is no free lunch in America’, Chief Kiumbe ama The Big Boss kama wanavyomuita waasanii ameeleza kidogo anachokipata kutoka kwa wasanii hao.

“Yeye anakuja kwangu, shukurani kwangu kwamba labda ‘swaiba wangu wewe una party’, nina birthday ya mtoto wangu Halima, au mke wangu birthday yake mama Rajab. Kwa hiyo njoo Diamond unipigie birthday yangu ya watoto wangu tufurahi hapa nyumbani. Basi Tunda njoo ukamue hapa, Shetta njoo ukamue hapa.”

Mfanyabiashara huyo ambaye ameeleza kuwa ni mmiliki wa bendi ya Extra Bongo lakini mafao yote anayachukua swaiba wake Ally Choki ambaye amemtaja kama mtu aliyelitangaza kwa mara ya kwanza jina lake Tanzania, amesema amewapa mkataba wasanii wote wanaohusika na bendi ya Extra Bongo ambao unampa msanii nyumba na gari ambavyo anavitumikia katika kipindi cha miaka mitano katika bendi hiyo.

Ameongeza kuwa, mbali na kuwasaidia wasanii hujihusisha pia na kuisaidia jamii na kupitia huko hapendi kujitangaza. Ametoa mfano kuwa aliisapoti kwa kiasi kikubwa ziara ya Diamond alipotembelea vituo vya watoto yatima.

Kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm huendeshwa na Samira, Fredwaa, Fadhili Haule na Eric kila siku za wiki kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa tatu kamili. Unaweza kusikiliza online kupitia tovuti hii. Bofya sehemu iliyoandikwa ‘Listen’.

Sikiliza hapa kipande cha mahojiano hayo, na endelea kutembelea www.timesfm.co.tz utamfahamu vizuri Chief Kiumbe na biashara anazofanya na uhusiano wake na Raila Odinga wa Kenya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

46 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sembe bwana, ina hela mpaka hujui upeleke wapi, kamulize masogange

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chief kiumbe Ana roho nzuriiii kawasaidia magari kina duli saiksi,Ali keba,q chief na wengine kibaooooo,

      Delete
  2. Mmh! Inawezekana huyu kiumbe anaosha rungu kwa domo sio bure eti!

    ReplyDelete
    Replies
    1. I second you mdau hata mm nina mashaka haiwezekan umpe gari la mil 250 bure huna u ndugu nae. Uwiiii wema zinduka mumeo nae ndo vilee hongera penieli umetoka tafuta really man

      Delete
    2. Mmmmh nimenyongonyea jasho lanimwaikaaaaa aasaleeee.

      Delete
    3. Haaaa chief huo upendeleo bwana na sisi mademu tunahitaji msaada we ni mamen tu ndo unawasaidiaga why tukumbuke na sisi bana

      Delete
  3. Namimi natamani kuwa rafiki wa chifu kiumbe naomba menye hii blog uniunganishe naye ntafurahi sana ndugu yng pls sio utani

    ReplyDelete
    Replies
    1. unatafuta kufirwa 2 na ww

      Delete
    2. Muwache,dhiki zilivyozidi bongo unafikiri watu wanajali?

      Delete
  4. Heheheheh hii wewe eti kweli

    ReplyDelete
  5. Hahahaa ww mdau ukwenda mbaaliii saaanaaa

    ReplyDelete
  6. umnunulie mtu gali tuu kuna kajambozi mungu anakajua sibure kirahisilahisi. tuuu. Haya inama niweke petrol

    ReplyDelete
  7. Jamani nuunganisheni na chief kakubali kufirwa huyo anayeomba mawasiliano!

    ReplyDelete
  8. Mwenye kikubwa huongezewa zaidi

    ReplyDelete
  9. hiyo ni marketing startegic ya kumtangaza chief kiumbe na biashara zake

    ReplyDelete
  10. Msione watu wanatesa mkatamani hela wanakozitoa jasho linawatoka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msione wadada wanang'ara instagram uliza pesa wanapata wapi,ni sembe au kufirwa basiiiii,

      Delete
  11. duuu so kampa bure n mengine ni chin ya kapet,......... Mujin kwel mcng kiuno

    ReplyDelete
  12. JamaNi jAmAni bhana kiumbe kula tigo anakunulia gari lamps mdogo wangu zake Hz

    ReplyDelete
  13. afu ukute mama ake anaishi kijijini kwenye nyumba ya udongo hampi ha shing mia afu anawahonga mademu wake wakina diamond jamani mungu hapendi hizo chifu kihumbe

    ReplyDelete
  14. kumanina zake mkundu huyo

    ReplyDelete
  15. kingine ni kua wakati Domo anatoka na Penie pia Chief Kiumbe alikua anatoka na Penie hata hio nyumba aliyopanga Peni kwa sasa Kapangiwa na Chief so walikua wanakulwa wote Peni na Domo hata gari la Peni Chief ndo kalinunua Mjini hapa lol.....ila sooon mtajua story Kamili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwaiyo mdau apo juu, dada yetu mboni show nae akanyang'wa tonge yake mdomoni sio??? Loh uchafu mtupu hapa mjini. Mungu tunusuru maana ni shidah!

      Delete
    2. mmh hapa naanza kuamini usemi wa shoga mmoja kuwa wasanii wa kiume wengi mashoga basi tu wanawastiri..sasa mwanaume ukamuhonge mwanaume mwenzio kweli tena ambaye tayari ana pesa zake!! Diamond siyo ridhk huyo jamani kaah ndo maana viuno vyao vilaini wakikatika

      Delete
    3. Jamani hivi ni kweli iris na pensel wanasagana?wenye kuelewa what is iris na pensel wamenielewa.

      Delete
    4. We Penseli Hilo gari ulilonunuliwa na chief make sure liko kwenye Jina lako,haaaaaa mwisho Wa Dunia huuuu

      Delete
    5. Mamaaaaaaaaaa,mdau umeua,ndo mana najiuliza Domo hakumnunulia gari peni,kaenda kushoboka kwa chief ili aepuke kukodi taxi,asenteeeee

      Delete
  16. Hii kali eti domo ni kipenzi changu tunajuana wenyewe mambo ya carpet!!??.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mm hapo ndo niliposhangaa utamwitaje Mwanamme mwenzio kipenzi chako na je mambo gani hayo mengine chin ya carpet ? Si umeamua kufunguka funguka yote kama wewe m kweli sema yote. kweli hata mm Nilishawai kusikia wasanii wengi wa kiume hawa wanaojifanyaga ma sharobaro sio ridhiki. come 2 u Diamond mbona vi2 vya ko vyote unasema kwa nn hili la gari ulificha kama kweli ulipewa ki halali? Loo pole Wema ndo Mwanamme unayemshobokea huyo

      Delete
  17. hahahahahaaaaaaaa... Diamond Chief Kiumbe kakuuaaaaaaa!!! yani ww ni swahiba kipenzi chake na mengine chini ya karpet?????? afu kukupa tu gari ya m245??? hata mkewe mama rajabu hatembelei?? duh unapumuliwa kisogon mie choka kabisa!!!!

    ReplyDelete
  18. Nyie hamjui usikute huyo chief kiumbe ndo anaukaliaa kwa diamond...
    kwan hamjui mashoga nao wanaongaa ili watiwe mboo tuuu....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mndewa hapo juu unasema kweli inawezekana mana diamond jembee lileeee halafu atiwe mboo mkundunii ...
      Ssa ngoja niwaibie siri huyo wema mwenyewe anamn'gan'gania diamond kwa sababu diamond anamfira vizur sana wemaaaaa.
      huoni mkundu ule ulivofumukaaaa.
      mm jembe chief kiumbe hawezi kunifanya kituu.

      Delete
    2. Nakukatalia mdau,what about Q chilla?Yuko Mombasa analiendekeza libeneke,kashalemaaaa bwabwaaa

      Delete
    3. Wanapeana huduma

      Delete
  19. Huyo chief kiumbe ndo zake kuwa do~me wasanii wa kiume hata q chief alitafunwa.. huo msaada mbona hawasaidii wasanii wa kike anapenda matako magumu huyo

    ReplyDelete
  20. mchezo wa mwanamme mwenzako kukununulia gari siyo mzuri!!

    ReplyDelete
  21. duuu kama sio wauza unga hawa ni mashoga.sasa mbona diamond alijishaua kwenye vyombo vya habar ati gari hiyo v8kanunua kumbe kahongwaa!! makubwa hayaa..ipo siku siri itafichuka...halaf anasema ni mara yake yakwanza kuhojiwa na vyombo vya habar..kwa maana hiyo ameamua kuanika waz kuwa diamond ni chakula yake na ole wake atakaemsogelea...hahaha dunia kaz kwel

    ReplyDelete
    Replies
    1. Domo na sepetunga Wanapenda kuhongwa hao,Tabia zao za fanana ndio mana kuachana ni muhari.

      Delete
  22. dah ata nilisikia q.chifu amelwa na uyu jamaa ahaa ndo mchezo wake domo nakuzarau kuanzia leo kumbe ww punga. ndo mana kila kitu mama kumbe bwabwa.

    ReplyDelete
  23. yeye alimpa mzee ngurumo gari la kamilioni 4
    ilifaamika tz nzima kwann uyu iwe chini ya KAPETI.

    ReplyDelete
  24. Mmmh nimechokaaaaa sitaki kuaminiiiiiii mmh?salaleeeee

    ReplyDelete
  25. Ata mm nataka nimfire huyo domo maana anajua kukatika miuno..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kiuno cha telezaaaa,hata miye antia hamu nimfire

      Delete
  26. Jamani eeeh mtaongea yoote eti wapenzi Diymoo na Chief, waaapi nataka kutoboa siri sasa liwalo na liwe; Pakacha kubwa la Chief ni Diymoo kisha mtumia mno kusambaza mizigo yake ya sembe yenye uzito mkubwa kiasi kwamba ghalama ya gari hiyo ni moja ya malipo yao ya kazi ya Upakacha, na Diymoo anapakachisha wenziwe wanasambaza mzigo na jamaa Kiumbe anavuta mpunga wa kutosha sasa hao ni maswaiba wakutajirishana

    ninyi mnaotamani urafiki na huyo kiumbe mtaweza? jaribuni mkutane na Mzee wa Kazi Mwakiembe mwenzenu aliwahi kabla Mzee wa kazi ajashtukia dili akawinnie!

    ReplyDelete

Top Post Ad