MTEI "ZITTO HAHITAJIKI NDANI YA CHADEMA UAMUZI WA KAMATI NI WA MWISHO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika pitia pitia katika magazeti ya mtandaoni, nimekutana na kauli kutoka kwa mwasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei kwenye gazeti la Mwananchi. Pamoja na mambo mengine, taarifa inasema

"Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake 
au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.
Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute 
vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.
Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao hawana shida... 
“Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.
”Alimtuhumu kwa kuwagonganisha viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua 
mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu ndiyo wa mwisho." Mwisho wa kunukuu.

My take: Je CHADEMA kama chama ni mali binafsi ya Mzee Mtei ama Wananchama? Kama ni mali ya wanachama, huo ujasiri wa Mzee Mtei kudai kwamba mwanachama fulani hatakiwi ndani ya chama anatoka wapi? Tujadili.​

source: Zitto aibuka kidedea mahakamani - Kitaifa - mwananchi.co.tz


Update: Kauli nyingine iliyopatwa kutolewa na Mzee Mtei dhidi ya Mhe. Said Arif alipojivua Umakamu mwenyekiti kwa kutuhumiwa kumsaidia Mhe. Pinda kupita bila kupingwa uchaguzi wa 2010 na Kupinga Mzee Mtei kumchagulia watu wa kufanya nao kazi. "Aache Kulalamikia, kwasababu wakati alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, mimi nilisimamia uchaguzi. Kama alikuwa na ndoto kwamba siku moja atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipaswa kujichunguza kwanza."

Source: Mwananchi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwl Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alitabili,
    Tuta kukumbuka daima na daima baba Nyerere, chadema amfai kuongoza nchi hii
    Watanania tuwe makini kufanya uchaguzi

    ReplyDelete
  2. Zitto achana na chadema .sio chama cha WANANCHI ni chama cha kundi dogo la wezi .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mia mia.. Ivo ivo.. Ni kundi dogo tu la wezi.. Wanazingua.!

      Delete
  3. Chama cha dumaza krasia na maupendeleo

    ReplyDelete
  4. Chama kimeishiwa mvuto,CHADEMA ni mali ya mtu.

    ReplyDelete
  5. mtei,watanzania tutakukumbuka kwa kuua demokrasia ya kweli Tanzania kwa kuendekeza ukabila na u familiaya katika siasa.unaiua chadema na siasa zako za kiimla(mangi)

    ReplyDelete
  6. Chadema chama cha wachaga jamani watanzania tuamke.

    ReplyDelete
  7. zito hahitajiki chadema sababu ni ccm period, siyo kwmba ni chama cha mtu fulani, mtakuaje na mamluki ndani ya chama, hivi na nyie watanzania amkeni, hawa ccm watakutawaleni milele sababu za propaganda zao chafu za kuchezea akili zenu, AAMKENI.

    ReplyDelete
  8. Acheni ukabila makuma nyie. Vipapa vyenu vya kuma. Et wacchaga . Kuma mayo zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. YA MAMA YAKO, AU MAMA YAKO HANA KABANDIKA KISODA MJINGA WEWE

      Delete
  9. Jamani samahani nimetembelea blog ya Sintah leo eti kuna post amepost kua aliku CIty Sports Lounge anadai kulikua na watu wa class ya juu tu kisa eti alikua anapewa B. Cards nimemuona mshamba huyu halafu atatapeliwa na kubanduliwa kwa mkopo vibaya mno! Siku hizi mayapeli wote wana B. Cards sasa ajaribu kuangalia hizo cards atakuta Massawe Enterprises sijui Clearing and Foward sijui Printing etc, hakuna mkurugenzi wa BOT, TRA, Ikulu etc atatanguliza card yake hapo kwa malaya. Nilitaka ku post kwenye blog yake lakini ye anataka comments anazosifiwa kuwe yy mrembo zingine hawezi ku approve. Dada bado mshamba sana huyu na uswahili wake haushi, mbona mi nimeanza kumsikia zamani sana hapa mjini kabla hata ya Sepetu, kwanza sa hz mi nilitegemea awe ameishaolewa anafamilia yake mambo mengine awaachie vijana sasa duu.

    ReplyDelete
  10. Uwiiii Mbavu zangu!!' msee mtei shikamoo!' Mbona semi huyo mkwe wake aliezaa nje ya Ndoa ya mwanao Lily kuwa haitajiki Chadema? Ebu utujibu Sisi watanzania!!!!' kweli msee wangu!!!

    ReplyDelete
  11. kama chama ni mali yako binafsi si ungewahusisha mkeo na familia yako we mtei vp mbona unakuwa hamnazo?

    ReplyDelete
  12. Joyce kiria wewe una.matatizo gani?kwani kuzaa nje ya ndoa ndo dhambi kubwa sana eh!.Huyo zito amekuwa na tamaa anataka madaraka kwa nguvu.angetumia utaratibu muda ungefika angechaguliwa.mwenyewe zito hajaoa sasa unataka apewe madaraka makubwa atayaweza?.Kiria joyce punguza jaziba hata kipindi chako EATV unaendesha kwa jazba sana.

    ReplyDelete
  13. Ha ha ha ha ha, Anony wa 9:40pm umenikumbusha mbali kweli na huyo sintah, ni kweli kabisa huyu mama ni mshamba mnoo ila anajilazimisha usister du wa mjini wakati yeye ni mama wa makamo, anawekaga post zingine akina mama wenzie mpaka unatamani ujifiche kwa aibu jamani. Unaweza amka asubuhi ukakuta anaringishia saa, miwani, viatu mara pochi, jamani dunia ya leo, kama mtoto wa secondary vile. Yaani tangu nimjue huyu mama mimi nipo primary, nikaenda olevel, nikaenda Alevel, nikajiunga UDSM, nikamaliza degree ya kwanza, nikaendelea Masters, nipo kazini long time, ninawatoto watatu sasa kwenye ndoa yangu, najiona kama mkubwa vile siwezi fanya anayofanya yeye, ila yeye kakomaa na utoto tu anajiona kama wa twenty vile, anachefua. Hebu kua we mama bwana hayo waachie watoto sasa.

    ReplyDelete
  14. Nyie wadau sinta ni mkubwa, amecheza maigizo na aunty yangu kaole siku nyingi kweli, na aunt yangu amenizidi sana kiumri, sasa hivi ukiwaweka tena na shoga yake sintah hapo unaweza sema sintah bado mtoto kwa jinsi anavyo pretend utoto, loh kweli diamond kasema acha muvi iendeleeee

    ReplyDelete

Top Post Ad