AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ombi hili ni juu ya kazi mbalimbali alizowahi kufanya marehemu Sharo Milionea na hazikutoka enzi ya uhai wake ambapo mama ameomba kuzisimamisha kazi zote ambazo hazijatoka na marehemu Sharomilionea alishiriki,mpaka wawasiliane na familia hiyo.
Mama mzazi wa marehemu Sharo Milionea ameingia Dar es salaam jumapili,January 26 akitokea nyumbani kwake Kijiji cha Msanga wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga mahsusi kwa ajili ya kuipromote movie itakayoonyesha maisha ya Sharo Milionea.
Wahusika kwenye movie hiyo ni pamoja na Mama mzazi huyo pamoja na wanafamilia wa Sharo Milionea ambapo ndani ya movie hiyo ya maisha ya Sharo Milionea wameigiza tangu amezaliwa hadi alipofariki November 26 2012 kwenye ajali ya gari.
Bonyeza play kumsikiliza Mama mzazi wa Sharomilionea. -Millardayo
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Du! Witu wanaroho mbaya yaani HK za mshkaji sharo wamezila kweli kufa kufaana
ReplyDelete