AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kauli yake ya Mwanzo:
"Niliwahi kusema Leodegar Tenga kwenye utawala wake wa TFF as an Individual alikuwa mtu poa sana lakini kwenye utawala wake akiwa kama Raisi pale TFF ali-fail big time,alifumbia macho shirikisho kuingia MIKATABA MIBOVU kabisa on Earth." Shaffih Dauda
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
FISADI MOJAWAPO
ReplyDeleteShafii daudi upeo wako na maono yako ya mpira kwa ku copy na ku paste ndio vimekufikisha kuandika makala hii isitoshe shafii daudi kutolewa kugombea nafasi Tff Ni moja Kati ya hasira zako,hivi dauda umetokea wapi kwenye soka?kuhoji juu ya tenga?hili hali mpira hujui?kujifanya mtafiti wakati unakaa kwenye net ku copy na ku paste?umetoka kwenye mada uliyoanzisha umekimbilia kwenye tiketi?ndumilakuwili.kinachotokea kwenye tiketi Ni changamoto Tu na umbumbu wako wa kushindwa kuchambua mambo kwa mapana.usitake umaarufu wakati wewe Ni mshamba hata mpira umerukia Tu.tenga Ni kiomgozi thabiti na mfano kuwahi tokea katika soka la bongo.hoji clouds kuingia mikataba na wasanii wa nje kwa gharama kubwa huku mkiwa nyonya bongofleva wa Tz.grow up huitaji kwenda shule au kuwa na elimu ya juu kutambua aliyoyafanya tenga.f
ReplyDeleteBg up Shaffii. Tenga alichemka na wanaosema kafanya maendeleo ktk soka la bongo n uongo. Maana tangu yy aingie madarakan clubs zetu hazkuwah kufanya vema ktk mashndano ya Africa, na wanao sema umetokea wap kwene soka hawajui tu kwan kujua soka c lazma ucheze simba au yanga unaweza ukachezea hata Tigger FC ya Makete au Veteran ya Geita bado ukawa mchezaj na mtu ukajua soka na isitoshe naweza kutocheza mpira kabsa af nkasomea mpira nkajua vle vle na kama utasema viongoz wawe wanasoka haiwezekan mana kwa TZ soka n substitute ya xkul so hawa wachezaj hawawez kuwa viongoz ko lazma watu kama Shaffii na wengne wanaojua waingie kuokoa jahaz. So bg up sana kaka shaffii na la electronic ltawaumbua sana nas n kutia vurugu na kuingia bure kama mkwakwan vle na tahadhar kwa wasimamiz wa vwanja kwa mpango wa TFF wataumiazwa sana na mashabk. Na ww unaemdis Shaffii unamatatizo mana unatumia lugha chafu bla sababu, acha hzo tumia akil kuhoj mambo uckurupuke.
ReplyDelete