UTEUZI WA JUMA NKAMIA NI KUUA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI-MEENA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiongea na kituo cha CHANNEL TEN leo jumapili tarehe 19/01/2014,mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi ndugu Meena amelaani uteuzi wa Jumaa Nkamia kuongoza wizara inayosimamia vyombo vya habari,nanukuu,"Nkamia nimesoma naye,lakini kauli zake za hivi karibuni bungeni vinaonesha kuwa hapendi uhuru wa vyombo vya habari,kwa aliyofanya waziri aliyepita na kwa uteuzi wa Nkamia tutegemee kuminywa kabisa kwa vyombo vya habari".

Nilitegemea kuteuliwa kwa mtangazaji mkongwe Nkamia kungewafurahisha waandishi wa habari,lakini inaonekana sivyo.Je, ni kweli Nkamia hafai kuongoza wizara ya habari,au ni chuki binafsi za Meena kwa Nkamia.Nini mapungufu ya Nkamia mpaka akachukiwa kiasi hicho na Meena? Kama si Nkamia,nani anafaa kuongoza wizara husika?.
Source:Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Izo ni chuki binafsi

    ReplyDelete
  2. CHUKI BINAFSI,,ILA ATUKUMBUKE WATU WA GONGOLAMBOTO MWISHO WA LAMIIIII,YEYE ANAJUA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ndio ukweli amewekwa kwa makusudi ya kuua vyombo vya habari,tumemsikia mara nyingj bungeni akiwa anapinga jambo hilo,cyo yeye tu hata Migiro ameteuliwa kusimamia sera za chama ili kuikwamiza katiba hasa kipengele cha serikali 3,huko wizara ya fedha ndio usiseme mazingira ya kuchota pesa ya uchaguzi yanaandaliwa,tulio na fikra pevu tulishaliona hilo.

      Delete
  3. Chuki binafsi hizo by makamaka kwetu

    ReplyDelete
  4. Baada ya kuona jina la Nkamia na Nchemba nikawa njiuliza sifa za kuwa waziri ni zipi? Matusi ukiwa bungeni au ni zipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nafikili matusi yanahusika kwa kiwango kikubwa: Nchemba, Nkamia, Taisoni.

      Kingine - inabidi uonyeshe kuichukia Chadema kama mavi na watu wote wanaotetea watanzania.

      Ukitimiza haya uwaziri haukawii

      Delete
  5. Elimu ya kutosha pia ni mbunge na ndio sifa pekee za kuwa waziri!

    ReplyDelete
  6. Unataka ateuliwe mama yako?

    ReplyDelete

Top Post Ad