BASATA WAONGEA KUHUSU KUFUNGIWA VIDEO YA SNURA NIMEVURUGWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku kadhaa zilizopita kupitia millardayo.com kuna taarifa ziliztoka kuhusu kufungiwa kwa video ya Nimevurugwa ya Snura,taaarifa hizi alizi-amplify meneja wake Snura ‘Hk’ akidai kuwa sababu maalum bado hawajazipata ingawa kila kituo anachoenda wanampa sababu tofauti.
Millardayo.com haikuishia hapo ilienda moja kwa moja kwenye Baraza la Sanaa la Taifa(Basata)ili kuujua undani wa sakata hili ikiwemo pia kuulizia video ya Jux(uzuri wako)ambayo nayo ilitoka taarifa ya kufungiwa kwa video hiyo.
Kutoka Basata huyu hapa Godfrey mungeleza ni kaimu katibu mtendaji  anataarifa zaidi>>Unaposema kufungia video moja kwa moja kuna chombo kingine cha serikali kinashughulikia hilo ambao ni bodi ya filamu Tanzania’
‘Bodi ya filamu wanaangalia video zote suala zima la filamu wanapoona hii haikidhi au haifai kwa jamii za Kitanzania basi wanaisimamisha kidogo wanamshauri aweze kuirekebisha ili iweze kulingana na maadili ya kitanzania’
‘Sisi tunaangalia Audio kabla haijaingia sokoni katika urasimishaji tunakaa tunausikiliza muziki wake tunashauriana kwamba akarekebishe hapa na tunaangalia mambo mengi ikiwemo ubunifu wake mwenyewe’
‘Suala la kufungiwa kwa Snura najua kabisa linaenda kwenye suala la maadili na limeandikwa sana na sisi Baraza kama Baraza tunaangalia sana suala la maadili tukisema tunamfungia hatufungii video tu tunamfungia msanii mwenyewe’
Bonyeza play kumsikiliza Kaimu Katibu mkuu akielezea suala hili.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Very good! Atutaki Ni chafu kwanza Sidhani Kama Ni kweli anavyojiita Mushi MANAKE sisi bwana atuna utani na maisha!!! Tutachunguza ili ibainishwe Kama Huyu Ni mwenzetu tutamweka kikao tumtaftie kazi ZA maana, wachagga mpooooooooo! Chezea chagga tribe wewe!! Yani nikajichoreshe kwenye kadamnasi"" KIRUU YESU IRUWA!!!

    ReplyDelete
  2. Wewe anonymous 4:03 hivi una akili kweli unaleta ukabila wa nn yani nyie ndiyo watu mnaotaka kuanzisha mambo ya ukabila tz hata kama angekuwa mpare au muhaya kama video yake iko nyuma na maadili wataifungia tu ww kazan na uchaga uchaga yani nyie wa chaga wabakuzi kweli kwa mwendo huu hata huyo lowasa wenu atabaki akiota tuu kuhusu white house chagga chagga my black ass nyoooooooooooo

    ReplyDelete
  3. Itakuwa huenda haina maadili hata kidogo. Au inaonesha mambo ya ngonongono ndo maana imefungiwa? Tuambieni ikoje jaman kama kuna aloiona!

    ReplyDelete
    Replies
    1. anony 5:57 mauno ya kanga moja ndugu yangu....afu watu wenyewe wamejaliwa miili ya maana kweli..

      Delete
  4. Wewe iyo sim kaitupe chooni kama hata you tube haiingii eti iyo video ya majanga ikoje.na uyo lowasaa ni mmasai kamwe hawezi kua mchaga coz hafananii kabisa na sisi watu wa pesaaaa

    ReplyDelete
  5. Wachaga tupo juu hatujaja kuuza sura na kupaka poda tumekuja kusaka pesa wengi wanaolalamika ni wale wamejibweteka wanasubiri kuletewa amka ww fungua kichwa na ubongo parangana siku moja utakua kama ao wachaga unaowaonea wivu kuna mengi.Hahahaah chezea kulisha tz nzima haters get well soon Hahahaah mnauzunisha kwa kukumbatia umaskini wakati fursa zipo wachaga oyeeeeeeeeeeee.tuwazomeeee wakosa kazi na kukalia majungu.u usilalamike kua na wivu wa maendeleo jiulize kwann wao na nifanye nn niwe kama wao lasi ivyo utakufa bure kwa kiijiba cha roho na roho ya kwann ya kutolea mijicho maendeleo ya watu.

    ReplyDelete

Top Post Ad