MSIMAMO WA ZITTO KUHUSU KATIBA MPYA HUU HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi nyeti kama ya kuandika katiba ya nchi iwe marufuku. Kuna kundi lina lengo la kuzuia katiba Mpya kupatikana. Kwa vyovyote vile lazima tuwashinde wapinga mabadiliko hawa kwa kuunganisha nguvu za wananchi. Tusirudi nyuma
"Forward ever, Backward never" - Nkrumah
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto pole sana kwa yaliyokukuta,jana nilikuona kwa karibu umekonda sana,kimebaki kichwa tu,kulikoni?

    ReplyDelete
  2. kwani zitto ndo nani tena. hivi jamani watanzania hatusahahu siku hizi.tumeanza lini hii tabia???

    ReplyDelete
  3. sikuzote,katika jambo lolote kimaisha, unavuna unachopanda. hata hivyo ni mambo ya kisiasa tu. sasa ni rahisi kwa yeye kujua nani alikuwa rafiki yake na nani mnafiki. nani msema kweli nani mpambe?

    ReplyDelete

Top Post Ad