OLE SENDEKA AMSIFIA TUNDU LISSU BUNGENI..AMSHAURI RAIS JK AMPE UWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau ole sendeka amemsifu mh tundu lissu kwa uwezo aliounyesha kwenye haya masuala ya kikanuni bungeni. Ameenda mbali zaidi kwa kumshauri rais Jakaya Kikwete ampe uwaziri wa sheria na katiba!

Uzalendo kwanza vyama baadae! Kama mtu anapiga kazi vizuri basi mpeni sifa na nafasi inayomfaaa......


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha utani ww..haiwezekani akateuliwa waziri kwa sabb Lisu anatoka Chadema Na hatuna serikali ya umoja ka ilivuo ZNZ kwa sasa..

    ReplyDelete
  2. Its gud ikifika mahali magamba kusifia mtu wa upinzani. Kiukweli na tukiacha unafiki Lisu alwayz he knowz what he is saying. Tuwanyonge wapinzani bt haki zao wapewe. Ni kama kumnyonga Magufuli na Mwakyembe simply bcoz wako ccm. Its not fair.

    ReplyDelete
  3. we Ole acha kumlainisha tundu lisu. tundu we komaa piga kazi kama kawa, hata ole akija na makidamakida mchane tu. hamna kumfagilia. wala nini?kazi kazi

    ReplyDelete
  4. Mtu mzima kanena

    ReplyDelete
  5. Hapo saiasa imewekwa kando na ukweli umezungumzwa

    ReplyDelete
  6. Lissu, jembe hata baba riz moko hilo analijua kitambo tu kabla ya ole kulijua hilo jana

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni nacho furahia anafata sheria na hana upande anaoutetea anamsimamo na anaongea kinachotakia kwa hilo nampa big up

      Delete

Top Post Ad