DARAJA LA BAGAMOYO BUNJU SI LA LEO WALA KESHO-LAZIDI KUBOMOKA..JITIHADA ZA KUWEKA MAWE ZAENDELEA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Muda huu Nipo hapa Daraja Linalotengenisha Bagamoyo na Dar Hali niliyoikuta jana na leo ni tofauti naona shimo limezidi kuwa kubwa Japo Bado jitihada za kuweka Mawe na Mchanga zinaendelea ila kwa jinsi navyo Ona si la Leo wala Kesho ....Najiuliza Kwanini Wanajeshi Wasije kufanya kazi hapa na Kuweka Angalau Daraja la Muda ili Angalau hata Watu tu Wapite kwa Miguu wakati kazi Inaendelea ...Kwani Kwa sasa ili Kwenda Bagamoyo au kuja Dar Lazima Upitie Kibaha ama Chalinze na nina Imani watu wengi hawawezi kumudu hiyo Nauli
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad