HomeSiasaHIVI ZITTO KABWE NAE PIA ANASHIRIKI KATIKA HARAKATI ZA UKAWA? HIVI ZITTO KABWE NAE PIA ANASHIRIKI KATIKA HARAKATI ZA UKAWA? 7 Udaku Special April 20, 2014 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA Wadau hivi Zitto Kabwe pamoja na kuonekana ni mamluki na ukizingatia mmgogoro uliopo kati yake na CHADEMA ,Vipi hali yake kwenye hii movement ya UKAWA .. au wamemtenga na huku . ?? Kwa Anaye Jua Atujuze ------------------- NAFASI ZA AJIRA JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPAINTERNSHIP VACANCIESGOVERNMENT VACANCIESNGO'S VACANCIES GOODLUCK Tags Siasa Newer Older
chadma bila zito haina nyta so ukawa kama kaw ypo n yey
ReplyDeleteZito ni naouma
ReplyDeleteKabisa zito kitu kngine aisee!
ReplyDeleteZitO issue nyengne aisee!
ReplyDeleteUkawa sio Chadema. Data we we unaweza kujiunga na Ukawa
ReplyDeleteZito ni jembe linalofanya kazi msimu wa mavuno
ReplyDeleteZitto ni kibaraka wa ccm,akiwa UKAWA au asiwepo yote sawa tu, asikusumbue kichwa ,anatumikia waliomtuma.
ReplyDelete