JAMAA AKESHA AKIOMBA MUNGU KATI YA MCHEPUKO NA MKE WAKE WA NDOA NANI NI KUTOKA KWA MUNGU?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari wapendwa,kuna kitu kinanikera mpaka nimeamua kuongea na inabidi tumuogope Mungu,kuna jamaa mmoja alioa akafukuza mke wake,badae akamrudia mke wake Mungu akawajalia mtoto mmoja,wakati huyo mke ana mimba jamaa akachepuka bahati mbaya mchepuko ukapata ujauzito,jamaa akachanganyikiwa kwa sababu aliuambia mchepuko hana mke yani walishaachana,sasa jamaa akakimbilia nigeria kwa TB Joshua ili aambiwe nani mke kutoka kwa Mungu wakati mke wa kwanza alifunga nae ndoa,baada ya jamaa kurudi akatulia ndani ya miezi 6 huku akimuomba Mungu amuonyeshe,wiki 2 zilizopita kasema Mungu kamuonyesha mchepuko ndio mke wake,ila nigeria hakuambiwa kitu,sasa kwa mke halali hataki kupasikia wala habari za mtoto.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thats gay, I think there is unclean spirit inside of him, we must to pray for him,

    ReplyDelete
  2. habr gani hazina pua wa mackio

    ReplyDelete
  3. du cha msingi mke wa ndoa atulie na muombe mungu najua mungu anajibu na mungu anaweza inatosha mungu hata kama hatjibu kama tunavyoomba yeye atabaki kuwa ni mungu mwingi wa rehema pole kwa yote

    ReplyDelete

Top Post Ad