JAY DEE AOMBA RADHI KWA KUAHIRISHA SHOW YA UZINDUZI KWA AJILI YA MAFURIKO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mvua inayoendelea kunyesha kwa wingi katika eneo la Dar es Salaam na maeneo mengine nchini imeripotiwa kusababisha athari kubwa ikiwa ni pamoja na uharibifu wa makazi na miundo mbinu.

Hali hiyo imemlazimisha Lady Jay Dee kuahirisha uzinduzi wa audio na video ya wimbo wake mpya alioupa jina la Nasimama.

Lady Jay Dee ametangaza kupitia ukurasa wake wa Facebook na kuambatanisha na picha ya jinsi eneo hilo lilivyoathiriwa na mvua.

Nasikitika kutangaza kuahirishwa kwa shughuli ya utambulisho wa wimbo na video mpya ya Jaydee 'NASIMAMA'. Kutokana na hali tete ya bojo iliojitokeza ambayo iko nje ya uwezo wa binadamu.. LAKINI Wimbo na Video vitarushwa LEO ktk mtandao. Çds na DVD vitasambazwa kwa walengwa((Media)) hapo kesho na Jumatatu.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza....JayDee
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad