JINI KABULA "JINI SIZAI TENA NJE YA NDOA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa.

Akistorisha na paparazi wetu, Jini Kabula alisema hawezi kurudia tena jambo hilo kwani anaogopa kuchanganya damu kwa vile baadaye watoto wanaweza kuja kugombana na kukosa maelewano hivyo anamuomba Mungu atimize ahadi ya kuolewa ndipo azae.

“Nilizaa na Chuz kwa sababu tulikubaliana kuzaa tu na siyo kuoana hivyo kwa sasa nasubiri niingie kwenye ndoa ndipo nizae, sitaki kuwachanganya watoto wangu,”alisema Jini Kabula.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya mna matatizo makubwa

    ReplyDelete
  2. Markerting......

    ReplyDelete
  3. Uyu malaya mbovu tabel kwel,almtapel shoga angu efu 70 yan anajangaa za ajabu kwe bongo movie hailip!!alipewa hela akamnunulie lotion anayotumia bi shost na sim akawa hapokei ..ataishia ivo ivo

    ReplyDelete
  4. Nani atamuoa sasa mbona sraper! Hata kama ni k mmmhh hapo hamna

    ReplyDelete

Top Post Ad