KISA CHA KWELI KILICHONITOKEA..MASHEMEJI WENGINE NUKSI KWELI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mke wangukunitambulisha yule shemejihisia za mapenzi zikaanzakunishika kwa kasi ya ajabu.

Nikajiapiza lazima nihakikishenampata kwa gharama yoyoteile.

Shem wangu yule kiukwelikaumbika maana guu guu hipshizoo na kwa upande waucheshi wake mimi sisemi kitu.

Basi nikaidaka namba yake nakuanza kumpa manjonjo nabaada ya muda mtoto akatiatimu na kuendana na matakwayangu yaaani kwa kifupiakasalimu amri.Akaniahidi tukutane hotel ilianipe furaha nami sikuwa na laziada zaidi ya kumpa fedha ilisiku ikifika nimkute kunakochumbani.

Siku ikafika mtoto akaniambiayuko kunako hoteli na mienikaenda na kabla ya kuingiahotel nikaona bora nipige vilobakwanza vinitoe nishai na kunipamaujasiri.

Nikavipiga weeee kisha nikaanzakuona naishiwa nguvunikamwomba twende tukajilievyetu.

Akanichukua na kunilazakitandani na akaniambiaanaenda kununua maji hotelnna kwa kuwa nilishajichokea namikonyagi nikalala nanakumbuka usiku nikaamkakumpa gemu moja tafu sana naakanisifia na tukaendelea kulala.

Asubuhi naamka niwashe taa nakwenda chooni nilishangaakuona kumbe pale hotelininililala na mke wangu.

Mke akashtuka na kusemambona umeduwaa nikakaakimya kwani nilimdanganyanaenda morogoro kikazi kwasiku moja ana nikaanza kuhisikuwa kuna ka mchezo pale.

Nimechanganyikiwa na sina chakusema maana naona wamenipawakati mgumu kwa kunitegeamtego huu.Sijui nifanyeje nimedata..i hatemashemu wote.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwandiko wa darasa la kwanza

    ReplyDelete
  2. Nimempenda sana shemeji yako ukome na siku nyingine usirudie

    ReplyDelete
  3. tamaa yako mbaya. koma nawala huna haja yakuwachukia mashemeji. umejiloga mwenyewe

    ReplyDelete
  4. Tamaa mbaya uchanganye mtu na dada yake inawezekana kweli,Sawa na mkeo atembee na kaka yako utaridhika shwaini Ww

    ReplyDelete
  5. Msenge maji chumvi
    wenzio wanatomba kwanza pombe badae

    ReplyDelete
  6. Huna lolote umecopy story na kupaste imekushinda. Ovyoooooo

    ReplyDelete
  7. ukome na uroho wote ukuishe fisi we

    ReplyDelete
  8. Ukome kutaka kuharibu mdogo wa mke wako kwa hiyo tamaa zako unataka kuwala familia nzima?
    Amefanya vizuri akijitokeza huyo shemeji yako nampa zawadi na wadogo wengine igeni tabia hii nzuri ya kuwakomesha waharibifu kama waha. Ukome kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Fala ww,mavitu kwanza mapombe baadaye,inaonekana hujiamini.Halafu shemejio?

    ReplyDelete

Top Post Ad