AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Juzi tu Wema Alienda Ofisi za Global Publishers na kuanzisha Timbili la Haja kwa kudai kuwa wanamfuatilia sana na kumwandika Sana kwenye Magazeti yao..Nikiamini Wema Sepetu na Global Publishers ni Maadui wa Kutupwa ....Lakini Jana Wema Sepetu Kaudhuria Shindano la Global Publishers na Kutunikiwa Ijumaa Sexiest Girl kama Sikosei...Najaribu kuwaza tu kwa sauti Je walikaa chini na Kumaliza Tofauti zao ? Au kummpa Ushindi huo wa Sexiest Girl Basi Wema Ndio Kasahau Kila Kitu .....?????
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Wema alihudhuria kwenye UFUNGUZI WA GLOBAL TV ONLINE.yeye ndio alikata UTEPE.hawa jamaaa wanatufania BIASHARA YA MAGAZETI.
ReplyDeleteWema msanii na maisha yake ni ya kuigiza,wala sio ajabu kwa kua miss wa magazeti ya udaku kwani kila kukicha anapeleka habari zake magazeti ya udaku,mbona hata TV ya global kaizindua yeye habari ilikupita nini,acha movie iendelee finaly uzeeni.
ReplyDeletemh but she deserve it
ReplyDeleteWore wafany biashara wanatafta soko.magazet yanataka kuuza na wema antaka kujulikana zaid
ReplyDeleteAbari ya mjini
ReplyDeletekura ndo ziliyompa ushindi
ReplyDelete