KUNA WASICHANA WANAO TOA RUSHWA YA NGONO KUPATA TAJI LA MISS TANZANIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, ambao ni waandaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amedai kuwa wasichana wengi wanaoingia kwenye mashindano ya Miss Tanzania hufanya mbinu za kuwalaghai baadhi ya watu kwenye kamati kwa kuwapa rushwa ya ngono ili washinde taji la miss Tanzania.

Akizungumza na Global TV, Lundenga amedai kuwa kuna wasichana wanaoingia kwenye mashindano hayo wakiwa tayari kwa kila kitu.

“Kikumbwa ninachokwambia kuna wasichana ndani ya wasichana,kuna wasichana mule ambao katika mashindano yanayokuja they are ready for every thing,wapo wasichana hao na sisi tunajua hivyo,wasichana wanakuja pale wameshajua mimi nimegombana na boyfriend wangu nimemuacha boyfriend wangu kanikataza,mama yangu, baba yangu nimekuja kwajili hiyo, nilazima nishinde, sasa anashindaje? Lazima apitepite kwa viongozi sisi,wanapitapita sana,wanajilegeza sana kwetu sisi,sasa sisi kama hatuna ethics ndiyo tunaingia kwenye mtego mbaya,kwasababu kuna mtu kwenye kamati yetu tumeshamsuspend mara mbili,tunamsuspend kwasababu ya upumbavu wake, mara mbili tumeshamsimamisha kwasababu ya upumbavu wake,” alisema.

Kuhusu tuhuma za kuwauza warembo watu wenye pesa, Lundenga alisema: Unajua hapa mjini, mimi leo siwezi kusema Musofe simjui,siwezi sema mapedejee gani simjui, najuananao ndio watu wa mjini hao,tunakula nao tunalala nao, si ndio! Sasa huwezi sema completely ukaknock-out, haiwezekani,no it’s very difficult, akina nani wote wa Musoma yule,akina nani, huwezi, hao ndio mapedejee wa mjini.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani kuna mgeni na mambo ya Tanzania?Rushwa ni sehemu ya utaratibu wa maisha ya nchi yetu.Ukitaka kura uwe kiongozi,ukiwa na kesi mahakamani,kupata kazi nk kwa hiyo sio kitu cha kushangaza kutoa na kupokea rushwa ndio mfumo wa taasisi na maisha ya nchi yetu.

    ReplyDelete
  2. ni kweli..lundege anapenda chini kama nini bila la hivyo hamna umiss

    ReplyDelete
  3. Hvi hiki cheo cha Lundenga uchaguzi wake lini, nataka kugombea

    ReplyDelete
    Replies
    1. eeeeeeh mwenzangu hata mi simuelewi utamu anafidi yeye tu kila siku

      Delete
  4. hata wema mlimla na ndo maana alipata, sijaonaga uzuri wa wema mpaka leo

    ReplyDelete
    Replies
    1. we msenge kweli...jiangalie wewe kwanza..pumbavu we!

      Delete
  5. Hana uzuri kweli wema sasa we nana unabisha nini

    ReplyDelete
  6. We mzuri mbona hukujitokeza kushiriki.?! Mxiuuu** kakojoe ukalale huko sura mbovuuu.'

    ReplyDelete
  7. Lundenga hakuna mtoto hapa, wewe kama mkurugenzi unapokea rushwa ipi? yaani hadi sura yako imebadilika kwa ngono pusi wee, unapenda K wewe kama kuku dume

    ReplyDelete
  8. Wewe bwege apo juu wema alichaguliwa kwa confidence aliyokuwa nayo na mpk Leo anayo ndiyo inayowaumiza mabwege kama wewe. Apana chezea nyota ya wema wewe kima mfa maji

    ReplyDelete

Top Post Ad