KUNDI LA MUZIKI LA P-SQUARE LAVUNJIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Now there are fears that there's real big trouble in PSquare's camp. Their elder brother, manager and director Jude Okoye just tweeted this "After 10 years of Hard Work, Now its Over , Am Done..." No full details or statement yet from them.But according to Linda, Peter and Paul Okoye of P-Square have been reportedly having issues for a while now. That the twin brothers practically disagree on everything now...songs, videos, ideas etc. That things even got out of hand last Wednesday April 16th, the brothers physically fought each other during rehearsals. They had to be separated by their dancers. Then that there are stories that one of the wives is the one causing some of the problems between the brothers. Real scary! Add all that to this tweet Jude just shared an hour ago. I hope all is well o?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nilijua tu baada ya hawa jamaa mmoja wapo kuoa kuna hatar ya kundi kusambaratika!mkiwa mnafanya kitu na ndugu au rafiki then mmoja wapo akamuhusisha mwanamke wake kwenye hiyo biashara basi ujue hapo tena hamna biashara taka usitake mwanamke ni nyoka na anaushawishi mkubwa sana.lakin kama utakuwa zoba na kumsikiliza matokeo ndio haya.

    ReplyDelete
  2. Kweli mapenzi yana run dunia aliimba kiba, ndoa ndoano! Mbona haikuwa hivyo kabla hawajaoa.

    ReplyDelete
  3. Mwabamke ni fitnaa

    ReplyDelete
  4. Mwanamke mbaya utamjua siku zote maana matatizo ya kutooelewana baina ya ndugu,jamaa na marafiki kabla hujamuoa yalikuwa hakuna,ukimuweka ndani tu yanakuwepo alafu pia tamaa ya wanawake ndo inapelekea hadi mgogoro unaanza.Mwanamke mzuri siku zote hukuunganisha na kusuluhisha tofauti yako na watu wako wanaokuzunguka,japo mwanamke hutakiwa pia kukuadvice pia inatakiwa wewe kama mume upime maji na unga sio kila anacho kuambia tu liwe baya zuri we unafanya tu.Na hao wasipokaa chini na kutafakari nini chanzo cha yote ndio kwishney tena,dats da end of dem.chezea mwanamke wewe.

    ReplyDelete
  5. Wanawake ni nyoka kabisa hawatakiwi kushirikishwa katika jambo lolote la kimaendeleo hasa unapokuwa unafanya kazi na ndugu yako hutakiwi kabisa kumuhusisha mwanamke awe wakwako au wa mwenzio msimuhusishe

    ReplyDelete
  6. Wanawake ni shetani kabisa hata adam walimshawi akalila tunda alilokatazwa na Mungu. na Samsoni alishawishiwa na Delila mwishowe akakamatwa na wafilisti

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shetani mama ako mzazi bwege ww

      Delete
    2. Kwani uongo?ni kweli mifano si hiyo!

      Delete
  7. Wanawake hawafai kabisa

    ReplyDelete
  8. Acheni propaganda nyie vizibo, huo ubaya WA kukuweka we tumboni, na muache kuropoka pasipo kujua kisa shwain nyie

    ReplyDelete
  9. Unapenda kukopi bila kuelewa habari we mburula

    ReplyDelete
  10. Let us pray for God intervention

    ReplyDelete

Top Post Ad