MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Musa Mateja
MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika.

Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.

“Kuna wakati unaweza kumwambia usitoke hadi nikuruhusu lakini cha ajabu unakuja kushtukia mwenzio yupo mtaani jambo ambalo hamkukubaliana, ni ngumu we’ acha tu,” alisema Martin Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo mambo ya ku- menejiana wanawez kina Paris Hilton tu... kibongobongo HELL NO!

    ReplyDelete
  2. We matin utammeneji madam eakati we nikibalaka hauna ela fara kashone nguo ugokoo wee Tim eddymage

    ReplyDelete
  3. Wewe anony 4:07 chuki imekujaa unakurupuka kuandika kama umefumaniwa, rudi darasani ukajifunze kuandika

    ReplyDelete
  4. ukitaka kujua KADINDA ana hulka zipi.....mtege akiwa INTERNET CAFE..akikisha pc aliyokuwa anatumia..uitumie wewe..UTAKACHOONA ALIVYOKUWA ANATAZAMA....UTAAAAMINI

    ReplyDelete
  5. We nawe mmbea umejuaje?

    ReplyDelete

Top Post Ad