AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo.
Mke wangu sasa ananizidi akili na mbinu.
Nilimnunulia smartphone ya bei kama laki 7 aina ya Samsung, yapata miezi minne sasa tangu awe nayo.
Kinachoniumiza sasa hivi kazi zote ni mschana wa kazi.
Yeye hapiki, hapigi deki na hafui, muda wote yuko bize na simu yake.
Pia amejiunga social networks zote kama twitter, badoo, facebook, whatsapp, tango, we chat na instagram na nikitaka kupigana naye basi nimuombe pasword zake, hapo yupo tayari kurusha ngumi.
Usiku analala saa saba na akichelewa ni saa 6 usiku.
Yupo bize. nampenda sana na nahofia kumpoteza. Jamani nifanyeje? Vita nyingne ni pale anapoishiwa pesa ya bando, yani anadai pesa ya vocha kwa lazima mpaka nitaitoa.
Mitandao yote aweweka profile picture nzuri na tena Mungu alimjalia uzuri kama kabla lake Wairaq (wambulu) walivyo.
Anapotaka kubadilisha profile picture hapo ndo naumiaga zaid sababu anajimek up na kutoa nguo zaidi ya 5 na anavaa moja moja huku msichana wa kazi anampiga picha tofauti tofauti na yeye huangalia ile aliyopendeza.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
no problem.
ReplyDeletewe nana co mzima
DeleteHahahaha jamani nana wamuache sio mzima
ReplyDeleteWewe nana mpuuzi unashidwa kutoa ushaur unaandika pumba
ReplyDeletesi mumuachem, mwisho hakuna ushauri inabaki nana nana who is she is this world
Deleteunamuendekeza mwenyewe usipompa bando atakufanyaje dume hovyo we ndo kichwa cha familia unajinyea nyea kalale mbele tukupe ushauri gani kama mke mkeo wewe
ReplyDeleteKwani !!!??? we ndito hapo umeshauri nini? N.J akitulia mnamtafuta akiandika mnamchamba nyie wasenge kweli, nana andika kile roho inapenda
ReplyDeleteHuyo mke wako, ni kama mie, TU, yaani umenigusa
ReplyDelete