MKE WANGU ANAOMBA PENZI KINYUME NA MAUMBILE..SIELEWI JE ANACHEZEWA NA WENGINE ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Admin hide my name , mimi ni kijana wa  kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasa cha ajabu ambacho sikielewi ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka nimwingilie kinyume na maumbile..yaani sometimes anaipeleka mwenyewe huko sehemu kwa siku kama mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko...sasa nimejua nimemkalisha kikao lakini haeleweka hajanipa jibu la maana paka sasa...nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo ..mimi ninajua madhara ya huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu ...swali linakuja hapa sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia ...sasa sijui nifanyaje ...naomba ushauri wa kina hapa 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh! Tayari jamaa wameshamgegeda Tigo huyo.sasa kazi.kwako kuamua na.ndio hawezi kukosa kugegedwa nyuma.Jikaze kiume kwa maamuzi maguma.mweke kitako umsema na uone msimamo wake okoje.

    ReplyDelete
  2. Huyo demu wako nilikuwa namfira sana kwa hiyo kashazoea

    ReplyDelete
  3. usifanye huo ushetani amefirwa xna wakat we haupo kwanza ni dhambi ni bora umpe talaka kuliko kuwa na mtu ambaye atakufanya ukose kwenda mbingun

    ReplyDelete
  4. Nyie munaoishi ulaya munaacha mademu zenu africa alafu munawatumia pesa za matumizi, kwa taarifa zenu mademu zenu wanabanduliwa na manjemba wengine pia hizo pesa unazotuma wanatumia wote nyie munaitwa mafala....lol

    ReplyDelete
  5. Usikubali kumfanyie kitendo hicho mkeo ni laana isiyosameheka kwa mungu mkalishe mweleze huwezi fanya hivyo bora kuachana nae kwanza si mwaminifu hata ukimfanya vipi au ukikataa ww ataendelea nje tu chukua maamuz magumu kuwa na msimamo muulize kajulia wapi na ww tubu sn kwa mungu akusamehe kwan hukujua sa unafanya. Km ni mkristo soma biblia utapata jb

    ReplyDelete
  6. Wewe kula mzigo huo hata usipokula wewe watakula wengine kula xana ila ajitahidi kukosha n ktawaza hayo matako maana makubwa mno.

    ReplyDelete
  7. LAST DAYS OF OURS,,DO GOODS BECAUSE THE WORLD IS NOT OURS.

    ReplyDelete
  8. Hivi bro ulijuaje kama ulishakula mara 2 hiyo tigo wakati yy alikuweka kwa siri? Isitoshe ww mpaka leo hii hunashindwa kujua hapa nipo tigo au voda?

    ReplyDelete

Top Post Ad