AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ukawa walipanga njama tangu mda mrefu kukwamisha mchakato wa katiba ili wapate agenda za uchaguzi mwaka 2015. Fedha hizi tunazotumia zingewasaidia maskini kupata elimu, dawa na huduma zingine. Mwigulu anaomba muongozo kwa mwenyekiti, ili rais atengue uteuzi wa wajumbe aliowateua wa bunge la katiba ibaki wale wa kuchaguliwa ambao maamuzi yapo chini ya wananchi.
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
siasa ni kiini macho
ReplyDeleteAnaumwa nini shenzi type
ReplyDeletehatuwezi kufika hata wanasiasa ni dhaifu
ReplyDeletelimeibuka tena!
ReplyDeleteHuyu mwigulu ukimwangalia ki undan ni mtu mmoja mbaya sana kwa taifa hili!yaan amefanya siasa kama simba na yanga kwa ushabiki yaan!kama wanawaonea wananchi huruma kwa nin wasizilete yale mabilion yaliyowekwa USWIS?mnafik mkubwa huyu mchumia tumbo amepewa hicho cheo na mafisadi kwa kupotosha kauli za maana za kuijenga nchi hii za wabunge wa upinzan yoote haya anafanya kwa ajiri yake banafsi na familia yake!wa Tanzania amken kumkataa kiongoz kama huyu asiye mzalendo na nchi hii!mingu yupo na atapigania maskin walio wengi wanaokosa huduma muhim za jamii huku yeye na familia yake wakipata matibabu nje ya nchi!hawezi kuwajal zaid hapo anaangalia ugali wake kama baba wa familia na sio kiongozi!ndio viongoz wetu walivyo.eti anajiita CHE GUEVALA wa TZ!guevala hakuwa kama yeye fisad mchumia tumbo na mnafiki.
ReplyDeletemwigulu acha utoto,kwanini siku zote mnapenda kupindisha ukweli
ReplyDeleteUKAWA komaeni hivyo hivyo mtuokoe watanzania 2015!! eeh Mungu wabariki UKAWA.
ReplyDelete