TAULO LA KIPA IVO MAPUNDA LALETA KIZA ZAA SIMBA NA YANGA LEO..LAHUSISWA NA UCHAWI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika mchezo wa Simba na Yanga Leo Ambao wametoka droo kwa kufungana moja kwa moja palitokea kituko ambacho kimewaacha wengi huo...Kama Kawaida yake Ivo Mapunda akiwa langoni Huwa anakuwa na Taulo kubwa Jeupe la kujifutia Jasho Ambalo hulininginiza Kwenye Nyavu za Goli ..Leo Mchezaji Didie Baada ya Yanga kukosa Goli langoni Hapo aliamua kulichukua Taulo hilo na Kukimbia Nalo na kulitupa kwa Mashabiki ...Kwa kile kinachodaiwa ni Dumba inayozuia Yanga Wasifunge....Ilibidi mchezo usimame kwa muda baada ya kuanza kushikana mashati kuhusu hilo taulo, Mwishowe Taulo lilirudi kwa Ivo Mapunda na Mchezo Kuendelea....

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admn Uwe na taarifa sahihi bac kabla hujazileta kwetu.......mapunda alipewa taulo lililokuwa lonatumika na kocha.......alaaaaah!

    ReplyDelete
  2. HUYO IVO MCHAW MBONA TOKA KTAMBO?

    ReplyDelete
  3. sio lilirudi Bali lililetwa lingine na hilo lingine pia lilichukuliwa name shabiki mmoja wa Yanga na kuwarushia tena mashabiki kama alivyofanya Didie Kavumbagu

    ReplyDelete
  4. michawi hiyo!!

    ReplyDelete

Top Post Ad