AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika mchezo wa Simba na Yanga Leo Ambao wametoka droo kwa kufungana moja kwa moja palitokea kituko ambacho kimewaacha wengi huo...Kama Kawaida yake Ivo Mapunda akiwa langoni Huwa anakuwa na Taulo kubwa Jeupe la kujifutia Jasho Ambalo hulininginiza Kwenye Nyavu za Goli ..Leo Mchezaji Didie Baada ya Yanga kukosa Goli langoni Hapo aliamua kulichukua Taulo hilo na Kukimbia Nalo na kulitupa kwa Mashabiki ...Kwa kile kinachodaiwa ni Dumba inayozuia Yanga Wasifunge....Ilibidi mchezo usimame kwa muda baada ya kuanza kushikana mashati kuhusu hilo taulo, Mwishowe Taulo lilirudi kwa Ivo Mapunda na Mchezo Kuendelea....
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Admn Uwe na taarifa sahihi bac kabla hujazileta kwetu.......mapunda alipewa taulo lililokuwa lonatumika na kocha.......alaaaaah!
ReplyDeleteHUYO IVO MCHAW MBONA TOKA KTAMBO?
ReplyDeletesio lilirudi Bali lililetwa lingine na hilo lingine pia lilichukuliwa name shabiki mmoja wa Yanga na kuwarushia tena mashabiki kama alivyofanya Didie Kavumbagu
ReplyDeletemichawi hiyo!!
ReplyDelete