UJANA NA KURUKA RUKA UNA MWISHO HATIMAE BISHOO HEMEDY KUOA HIVI KARIBUNI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji Bishoo na Kipenzi cha wadada hapa mjini ...Aka Bongo Hemedy au PHD ametangaza kuwa soon ataoa na huyo kwenye picha ndio ubavu wa rohoo yake ..Humwambii kitu ....kweli Ujana maji ya Moto..Sasa yamepoa....

So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.
-John K
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bora aowe kabisaaaa...masha Allah wameendana

    ReplyDelete
  2. Mmependeza sana.

    ReplyDelete
  3. kumbe ehmedi mwanaume!!!!?

    ReplyDelete
  4. mnaendana sana....hongera

    ReplyDelete

Top Post Ad