UJAUZITO WA DIVA NA CRAZY GK WACHOROPOKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ujauzito wa Star Diva Loveness Love mtangazaji wa Ala za Roho ya Clouds fm aliopewa na Rapper kutoka East Coast Team Crazy GK umechoropoka wakati ulikua umefikia miezi mitano, Diva ameandika kwenye mtandao wake wa http://divabawse.wordpress.com/ na akaongeza kuwa atatoa kitabu cha maisha yake na kufunguka vitu kibao, soma maneni ya Diva hapo chini
 at Dk. Haroon!s for Ultra sound… checkin at them babies.
i was so nerv and i cried dat day.. i was like OMG… baby in .. baby’s comin. and #twins.
My doctor said i shuld be happy and be open about it. dats the only way nita let go of the tears…. Guys!. its a beautiful feeling asikwambie mtu. i was 5months preg and ilikuwa like hell… ikno i lost My babies and i talk to em like forever and ikno mpaka wangezaliwa lini. I Miss them.. i was with My doctor today and he told me to share dis with the world .. he said let it out it heals….. lia uwezavyo it heals and had the whole day ..
missing the heatbeat. My twins .. my life.. my everything. i love you so much. Penzi lenu ni la ajabu.. Penzi lenu ni Kubwa Kushinda yote…love you more than love ya papiii…. sadly i hated him Kipindi kile but it was love and hate at the same time….but he was always there for you guys.. always there for me too…. He was always there kila asubuhi akisikiliza the heartbeat too….. he was kinda nerv too….. named you guys Hailey Presley and Georgia Montana .. both Gk’s babies… ikno he wanted a diff names .. some Mujuni kinda name and i wanted My names too.. hollywood kinda like .. but at the end of the day. it was just a dream.. mkaondoka mkaniacha (tears) why?! but loved you guys with all my heart.. niliwakosea nini kwani wanangu? ila its life .. what mo can i say? with all respect #RIP ….. ❤️❤️❤️
i save de names for the next babies. Inshaallah!.
thanks to my doctor too… thank you for spending a day in ya office. sorry for the tears. and yes i feel so much better now!. one day i’ll share the happiness.. and the sad ending… will put this in 10chapters…. in my book, My life story… The Book is coming … abit sad yes .. but will share how Preg sucks … yes it sucks!. i can’t lie … but this is another story dat wuld really love to share. get a new babies soon. I Pray for dat….maana operation zimenianza mapema. another babies will fix up My happiness.. atleast i got a man who loves me and my friends who cares for me. Thank you all on ma pages.. ig i see you..
i really appreciate. bleas ya'll , mwanadada akaambatanisha na picha ya Ultra Sound ikionyesha kitoto kikiwa tayari kichwa na tumbo kimejiumba.
 Source:Makorokocho blog

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hakuwa na ujawepesi huyo kahaba.

    ReplyDelete
  2. Mxxxioou maninest.

    ReplyDelete
  3. kumamamako go 2 hell mkundu ww, usituletee habari za kweny muvi msenge ww

    ReplyDelete
  4. Ongea tu, kiswahili, hiyo ni english ama?

    ReplyDelete
  5. People acheni kudiss,huu ni utandawazi na mtu kuongea both lges dhambi iko wapi?kama nyie hamjui na viingereza vyenu vya kusomea interview si mkae kimyaa!some people English is their addiction hawawez kuvusha sentensi bila the..na unajua nn?hao ndo watu wenye nafasi nzuri na Globalization coz it takes alot to be noticed.Na wewe Nana J. unapenda tu mashauzi ka fala vile

    ReplyDelete
  6. Haituhusu ss hiyo mimba, hivi umekosa habari zenye kueleweka?

    ReplyDelete
  7. na wewe hapo juu usituzingue, et addiction, addiction wanakuwa nazo mastaa Wa kike tu? mbona wanaume hawanaga huu upuuzi Wa kiswangilishi? huku ni kujishaua tu kwa wanawake hakuna cha addiction hapo

    ReplyDelete
  8. Atajifunza kufunga domo lake na mashauzi ya kitoto jitu zima

    ReplyDelete

Top Post Ad