UMBEA WA INSTA:CATHERINE SHAWA APEWA USHAURI KUACHA KUUZA MADAWA YA KULEVYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Catherine shawa mamaa Ya sembe , sister duu muuza sembe aliebakia baada Ya beach baby kukamatwa (jacky Cliff) na walikua mabeste kabla Ya ugomvi wao maana Catherine ndio alimpa mchongo jacky baada Ya jacky na jacky akashika usukani vizuri tenda nyingi alikua anapewa yeye wivu kidonda ndio makwaruzano yakaanza wakawa paka na chui ila enzi zao walikua poa sana ... Harafu jamani hawa wauza sembe mademu wanapenda sana kujiita ma boss lady hahaha ni shiiida!! Na shooping zao ni CL, LV magucci yaani wao na majina tu na kuringishia pesa ... Catherine nakupenda tulia tu umlee mwanao sasa Leo ukishikwa maana njia zote zinakaba yaani pamekua pagumu sasa ukienda jela jamani mwanao atalelewa na nani na hivi baba mwenyewe haonekani hizo safari ulizoenda zinatosha tulia ufungue biashara au ndio pesa Za shetani hua hazikai ?? Trip Za Ghana, Nigeria, brazil zinatosha mama ... Si unaona mjin sasa hivi hapafai kabisa ! Fanya mambo basi hata baadae uje usemw kweli niliuza unga dondosha mjengo , hizi CL ni mpito tu ukishavaa mara mbili tatu hutaki tena ila Nyumba ni asset Ya kudumu.....Agness Masogange sasa hivi katulia hata fujo Za kuonyeswha pesa hana sasa hivi tunaonyeshwa makalio tuuu...

Source:Team UkwelinaUwazi ..Intagram
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lakini ukweli.ufanye ya maana kama mpaka now hana nyumba basi aache tu hiyokazi imemkataa.wangapi wamepiga step kimyakimya now wametulia?wanacheki upepo unavyoenda.

    ReplyDelete
  2. Mh mwakyembe nae njia zote kazifunga lakini mazungu wana akili kuliko serikali sembe imezagaa kila kona...lol

    ReplyDelete
  3. Alafu ana mtoto mkubwa nashangaa kwanin huwa anamficha lol

    ReplyDelete
  4. Mademu wa bongo wanapenda mteremko xn

    ReplyDelete
  5. nawanaume wa bongo wanapenda nini??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata wewe ulipitia hukohuko tena ulitanguliza miguu

      Delete
  6. Muache auze unga mwaka jana nilikuwa nasagula naye mitumba mwenge lol designer stuff alikuwa mpaka anunuliwe na jack cliff

    ReplyDelete
  7. mamaa ya sembe

    ReplyDelete

Top Post Ad