ZIPI NI KERO ZA MUUNGANO? JE UNAFAIDA KWA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani Wadau mimi bado sijajua ukweli.
Nasikia tu Watu wanabishana kuhusu Muungano, wakisema hauna tija, Hivi Kero kuu ya Muungano zinazo sababisha mabishano hayo ni nini?
Na Wakati nchi mbili zinaamua kuungana, kulikuwa na Makubaliano yepi?
Je yaliwekwa kwenye file, yaani Memorandam of Understanding? 
Nini kunacho kusababisha wewe uone Muungano hauna tija au unatija?
Je Mtu kutoka Zanzibar anahaki ya kuwa Raisi wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania? Kwa kufuata makubaliano hayo yaliyo fikiwa?
Naomba Mnitatulie kidogo maana natatanika kuhusu hilo......Siasa kwangu imekaa Upande kidogo ila kwa sasa nataka kujua maana kila siku nasikia hivi vitu watu wakiongelea..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad