Balozi wa Togo Nchini Gabon Amefariki Akiwa na Kimada Kwenye Ajali ya Gari Wakitoka Club

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Balozi wa Togo nchini Gabon amefariki akiwa na kimada kwenye ajali ya gari. Inasemekana marehemu hao walikuwa wameenda 'Club' kujistarehesha kisha wakati wa kurudi gari walilokuwa wakiendesha likapata ajali ya kuingia baharini.
Zaidi soma hapa chini Kwa Kidungu..lol

Apparently, the 2 were said to have gone to the night club for a helluva time together, and on coming back from the night of fun, the married Ambassador & girlfriend apparently drove into the sea. A communique from the dead ambassador’s country after his untimely death read as follows:

“the Ambassador of Togo to Gabon was found this morning drowned in his car with his girlfriend. The Department, on behalf of the head of State and Government, presents its sincere condolences to the bereaved family and reassures them that all arrangements will be made to know the exact circumstances of the death of the diplomat and repatriate the body to Lomé as soon as possible”.

Source:liveofofo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa hiyo mmeamua kututafsiria uongo? Ni balozi wa Togo_Nigeria au Togo -Gabon?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bongo waandishi wengi shule za kata kaka.

      Delete
    2. Hata siyo waandishi, ni wanganga njaa wanaoiga matumizi ya Internet, huyu alitakiwa awe na Facebook page na siyo website . Uwezo wake ni sawa na Nape Nauye....

      Delete
    3. Hata siyo waandishi, ni wanganga njaa wanaoiga matumizi ya Internet, huyu alitakiwa awe na Facebook page na siyo website . Uwezo wake ni sawa na Nape Nauye....

      Delete
  2. Hujaelewa nini c anaiwakilisha Togo akiwa Nigeria sasa kipi cha ajabu.pole yake maskini

    ReplyDelete
  3. inasikitisha sana

    ReplyDelete
  4. Kumbe mburula tu.

    ReplyDelete
  5. Naona Gabon ukiitafsiri kiswahili inakua Nigeria

    ReplyDelete
  6. hahahaaa u realy made my day mdau

    ReplyDelete
  7. too bad, cha ajabu wengine mnaanza kuponda kingereza cha watu wabongo bwana. Glory

    ReplyDelete
  8. dah wadau mnanivunja mbavu..kiukweli huyu mwandishi ni bonge la kilaza....ambassador of Togo To Gabon (balozi wa Togo nchini Gabon) yeye anasema eti balozi wa Togo nchini Nigeria....dah kwa vile ni ya udaku basi mnapotosha kila kitu hadi Geography? shenzi type!!!

    ReplyDelete
  9. SIO KOSA LAKE NI MFUMO, MULUNGO ALIWAHI KUSEMA ZIMBABWE NA TANGANYIKA ZILIUNGANA MWAKA SITINI NA NNE NA KUUNDA TANGANYIKA

    ReplyDelete

Top Post Ad