Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo...
Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.
Whats your Take on This?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kaaaaaaazi kweli

    ReplyDelete
  2. CCM LAANA TUPU!!! PHTUUUUUU

    ReplyDelete
  3. Hivi WW mbowe na wenzio mnaona kutoka nje ndio solution ni jinc gani mlivyo wadhaifu msioweza ku msivyoweza kpambana na hoja mezani ni jinc gani msivyoweza kuongoza nchi sababu kitu kdg mnakimbilia kutoka nje pambaneni kwa hoja shwainnn

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mpuuzi kweli atapambana kwahoja gani aeleweke wakati bajeti inapitishwa kwa kura na ccm ni wengi.
      Kuweni na upana wa kuwaza hata kama upinzani huupendi au mbowe mwenyewe bt kuna mambo ambayo hata ubongo wa nazi unatosha kujua kwamba kutoka nje nivkulinda ddignity yako haina madhara yeyote coz hata wangekaa na kuipinga hoja bado ingepita tu.
      Kiujumla upinzani hauna kazi yeyote bungeni zaidi ya kutujuisha uozo wa serikali lakini sio kupitisha bajeti au sheria. Wako wachache.

      Delete
    2. Shwwyn mkubwa wewe,kama huwezi kufikiri kwa ubongo wako ni bora utumie matako yako huenda ukaelewa kuwa upinzani unakutetea ww ns kizazi chako.

      Delete
    3. Wewe kutoka kwao nje ndo kumekuudhi ila uozo na kulindana huku mali za uma zikigawanwa na ccm na matafiki zao hazikuudhi?! Wewe kweli kichwa cha panzi
      ...

      Delete
    4. Hilo senge maziwa hapo juu linatetea nini kuma nyoko?yaan kunamijitu kwakuwa yenyewe yanakula na kunya kwa mgongo wa ufisadi basi ndio utoe mawazo ya kikuma hapa?akili za watanzania kweli ziko katika maajabu kumi ya dunia yaani huyu msenge mahela ya IPTL yeye hayaoni huyu kuma jinsi walivyotuibia na yeye anamponda mbowe kweli?we kima nina wasiwasi unaweza ukawa hata sio mtanzania.

      Delete
    5. Tenakumamae sana huyo hapojuu.ccm tumewachoka ilembaya nawaombea wapasuke matumbo wote kaz kufisadi nchi tu.ccm ilikuwa zaman enz za mwalimu sio sasa wanajua kulahela nakusambaza virusi kwapesa za wanachi

      Delete
  4. We ndio shwain shnz typ. Wanapambana vipi huku bunge limejaa uhuni wa chama tawala? hv unaangalia bunge kweli au unapayuka payuka tu?Wapinzani hawapewi nafasi kuongea kwa utulivu ili hoja zao zisikike na kueleweka. Hawa magamba wanajivunia wingi wao haki ya Mungu 2015 ifike haraka maana Mwigulu Boko Haram anadhani Tz hii ni ya Wanyiramba wajinga wa Iramba CCM inaweza kutuburuza inavyotaka. Na huyu Bi Mkora Spika ndo hovyo kabisa anaaibisha wanawake wote nyambaf

    ReplyDelete
  5. Tunanyonywa tunazalilishwa tunadhulumiwa na magamba haya ila siku yaja when ze stupied will be ze worrior kwanza bi Mkora roho mbaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bi mkora alishindikana kwa wanaume wote hakuolewa wala kuzaa,kuma yake ime-expire siku nyingi ndo maana hasira hazimuishi.Nyege zimetamalaki hadi zimeganda,life has lost meaning to her!

      Delete
  6. jaman ukawa tuteteeni maana tunaumia sana upande wa luku gharama ipo juu mno,

    ReplyDelete
  7. jaman ukawa tuteteeni maana tunaumia sana upande wa luku gharama ipo juu mno,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli mdau..na hio yote ni kwasababu ya mikataba kama ya IPTL. Tanesco hawana jinsi but kumsukumia mwananchi mzigo.
      Na bado utashangaa humu ndani bado kuna watu wanashabikia magamba.
      Umasikini wa fikra mbaya sana
      MDAU USA

      Delete
  8. Watanzania hebu tumieni lugha zenye staha,humu kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanaheshima zao

    ReplyDelete
  9. Wewe kwenyehili pigakimyaa km we ccm kakae nae huko tumewachoka mmezidi.namungu atawaumbuasanaaa.nakimama spika ckipend hakifai kuwa spika kinatetea upande mmoja sana hafai hafai sina chama ILA usenge unachosha wa nchi hii.

    ReplyDelete
  10. Hivi mnavyotukana humu inasaidia nini kama mmekosa majibu kaeni pembebi huku si sehemu ya matusi na lugha za kijinga kaongeeni na baba na mama zenu ndio watawaelewa

    ReplyDelete
  11. Hahahaha eti ccm mafsadi ...tafuteni nchi kima wakubwA upinzani mbulula na wafuasi wake mbulula so mmeona kutoka ndio solution hivi niulize mpk sasa apo ulipo c serikali ya ccm ndio iliyokufikisha apa shwaini jbu Ni moja upinzani hawana hoja, kwani wao sio mafisadi huyo mbowe knachomfanya angangane madarakani. Nn kama sio ufisadi kenge wakubwa ccm ccm mafisadi hama nchi mtuache na mafisadi wetu shwainnnnn na co kuropoka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halafu wewe unayetetea mafisadi utakuta ni maskini mnuka uvundo kuma nyoko!watanzania wengine bana wacha tu.

      Delete
  12. Kuna mijitu mingine humu ndani kama inakichaa au ndo upungufu wa akili yaan kubuluzwa kote na ccm bado kuna watu wanabeza ukawa kwl tanzania kichwa cha mwenda wazimu ukawa endelen kufichua mafisad achana na waliokosa akili

    ReplyDelete
  13. kweli nyie mnaotetea mafisadi ni kima,heti ccm imetulea, ujui hata ulichopaswa kuwa nacho umeishanyanganywa na hao mafisadi pumbu zao ipo siku mwisho wao utafka.

    ReplyDelete
  14. kwani hizi pesa zinavyoibiwa kikwete anakua hajui ? kikwete ndio mwenye makosa makubwa anawadekeza, anawaogopa, anawalea lea, ufisadi wa tanzania hauna aibu wala kificho ni triki tu

    ReplyDelete
  15. kweli kwa kijana mwenye akili timamu anaeishabikia sisiemu kama akizeeka asipokuwa mganga basi atakuwa mchawi!

    ReplyDelete
  16. Nyambaff CCM 2015 piga kimya majangili, maintarahamwe, janjaweed,boko haram, M23 hawa tumechoka na ufisadi kila kona. Kwenye ardhi juzi yule ajuza Tibaijuka kaumbuka,Nishati na Madini nako uvundo,Fedha ndo kabisa kiama na hv Mwigulu Chemba ya mavi ndo yuko pale kimaslahi kuhakikisha CCM inashinda 2015 kwa kukwapua mabilioni mengine,kweli TZ shamba la bibi halafu nashangaa makuma hapo juu yanatetea hili gamba nyoko zenu

    ReplyDelete
  17. Kutoka nje ndo kunazuia mali zetu zicendelee kuliwa fikirien km binadam c km wanyama!!! Wapambane watuondolee huo ushenz bungen hata kwa ngumi c kuleta tabia za kuzira huo ni utoto au ukike

    ReplyDelete
  18. Watanzania sio kama wanaipenda CCM na ufisadi unondelea, wanaogopa ; wanaona waendelee kushangaa ufisadi uliopo kuliko kuuona UFISADI WA KAMBI YA WAPINZANI>>>UKAWA.

    ReplyDelete
  19. hahahahaha mtasubili sana upinzani kushika nchi, wanazira kama madem walitakiwa wa act like a men na sio kuzira zira tu fyuuuuuu

    ReplyDelete
  20. Ni bora kutoka kuliko kushiliki kwenye maamuzi ya kipuuzi, hii nchi ina laana kubwa

    ReplyDelete
  21. Big up sana hapo juu kwanza (UKAWA)
    Ni ni kitu gani??? Nisaidieni!!!!!

    ReplyDelete
  22. ukionalimtulolotelinatetea ccm nilitahila

    ReplyDelete

Top Post Ad