Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Usdm Amekutwa Amefariki Baada ya Kwenda Kupumzika Hostel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mwanafunzi mmoja wa Kike wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam leo mchana muda wa saa nane amekutwa amefariki akiwa amelala kitandani chumba cha hostel, Inasemekana aliwaaga wenzake kuwa anakwenda kupumzika kidogo baada ya vipindi, baada ya muda wenzake walimkuta kitandani akiwa kashafariki
RIP
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. NOT RNP IS RIP PUMZIKA KWA AMANI MPENDWA RIP

      Delete
    2. Mbaya Sana aise hasa kwa wazazi mungu mungu awape nguvu

      Delete
  2. Dah,bwana Ametwaa Na Bwana Ametoa Jina La Bwana Libarikiwe!Rest In Peace RIP.

    ReplyDelete
  3. Jesus! Sijui n nn? Wazazi watalia sana maskini!!!

    ReplyDelete
  4. Inasikitisha kwa wazazi sijui wako katika hali gani jamani

    ReplyDelete
  5. Alale pema peponi.

    ReplyDelete
  6. pumzika kwa amani mpendwa

    ReplyDelete
  7. Mmmmhh!!!!!mungu anatuonesha miujiza ili tubadilike maana watu tunatenda maovu bila kujali tunamkosea muumba!!!@R.I.P

    ReplyDelete
  8. Mungu ilaze roho ya marehem mahara pema .AMEN

    ReplyDelete
  9. Rip wazazi mungu awape nguvu.

    ReplyDelete
  10. Story isiyoeleweka

    ReplyDelete
  11. Mimi toka mwanangu afe nimegundua mungu ni zaidi ya tunavomjua na hii ni njia tunapita kwetu tutafika.

    ReplyDelete
  12. ni afadhali afie shule aka skonga kuliko kufia bar unajua?

    ReplyDelete

Top Post Ad