Hivi Huku ni Kupenda au Uoga?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna dada mmoja hivi hakika ni mrembo haswa ninasomea nae kozi moja, huwa kila nikiwa karibu nae mwili unaenda mbio, nakosa hata maneno ya kumtamkia zaidi ya neno "mambo?".

Ila kwa wadada wengine sipatwi na hali kama hii naomba wajuzi wanipe maarifa kuhusu hili, hivi ni uwoga tu ama ndo upendo? 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo kuna kitu ,ni mapenzi yanayoanzia ndani ya moyo wako siku yakitokeza nje itakuwa patashika.Jaribu kumfuatilia kwa karibu hasa kuhusu tabia kama atakufaa kuoa lianzishe tu.

    ReplyDelete
  2. khaaaa acha uwongo mavi wewe naijua hiyo photo

    ReplyDelete

Top Post Ad