MBOWE Mnatuhalibia Chama, Chadema Inazidi Kupoteza Mvuto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.

Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?

Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?

Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014. 
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?

Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.

Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.

Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.

Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.

Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe. 

Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?

Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. For sure naona tofauti ya akili ndogo na akili kubwa kile alichokisema Mwigulu....kambi ya ubinzani kupitia waziri kivuli wa michezo baada ya kutoa hotuba inayogusa nyanja ya michezo kwa kutoa mapendekezo chanya badala yake wanatoa hutuba ya kumzungumzia ZZK...kiukweli Mbowe amepotoka na kwakuwa wanaomuunga mkono ni watu wenye akili ndogo kabisaaaaa unaona chama kinavyopotea...NSSF ni miongoni mwa taasisi zinazoongozwa kwa umakini mkubwa leo hiii unatoa vielelezo vya kijinga kuwahusu wao

    ReplyDelete
  2. Wacha kuwa mamluki wewe kibaraka wa mafisadi mkubwa kuma nyoko usitugombanishe kuma mako!fala wewe eti ni mwanachama wa chadema nyooo!wewe umetumwa kama walivyotumwa mbwa wenzio waliopewa hela na lowasa kuanzisha chama ili kuendelea kuwafanya mafisadi waendelee kuneemeka tu huna lolote mnafiki mkubwa asiye jujua wewe nani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha
      meli ndo inazama hiyo
      2015 mmeturahisishia kazi
      CCM OYEEE

      Delete
    2. Msenge wewe ccm oyee kwani wewe ni mtanzania kuma la mama yako!oyee kwa kuwa huna uchungu na nchi hii mkundu kunuka wewe!

      Delete
  3. Wapoteze Mara ngapi?????

    ReplyDelete
  4. Hawana jipyaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. unashabikia mafisadi hao na wakati hapo unanuka umaskini kuma nyoko!waache wakina riziwani washangilie sio wewe baba yako fundi kenchi maskini tuu kuma kibuyu!

      Delete
  5. wacha wapotee tu hawana jipya

    ReplyDelete
  6. kuma lamamayako hiyo meli inazamakwenyemkundu wamamayako mbwawewe

    ReplyDelete
  7. Mliotoa coment za matusi wote hamna hekima na busara na inaonekana hata kuwa creative hamuwezi. kwa mantiki hiyo hamuwezi kutoa hoja za mashiko wala hata kujenga hoja hamuwezi matusi tu ndo defence yenu. Cyo ujanja huo bali ni uchanga wa kufikiri. Yangu ni hayo tu.

    ReplyDelete
  8. hata mtukane wana CHADEMA Ukweli una tabia ya kushinda CHADEMA ndo inakwisha hivyo.

    ReplyDelete
  9. Imeshazama tayari, Mwigulu hana kazi 2015. Endeleeni na mambo ya UKAWA muone shughuli 2015.

    ReplyDelete
  10. Mie mwenyewe nilishangaa kwanza kuona hii taarifa sababu hakuna kwanza taasisi yenye umakini Tanzania Kama NSSF ambayo inaongozwa Na DR DAU,taasisi ambayo imeisaidia serikali katika mambo mengi ya nchi Kama ujenzi wa chuo cha DODOMA Na sasa ndo wanaojenga Daraja la Kigamboni,hayo ni kwa uchache tu siwezi kuelezea vyote,,Na nilipokuja kuchunguza nikagundua kuwa ni PROPAGANDA TU..kwa kweli Kama chadema mtaendelea hivi mnakwisha coz nyote hakuna anaempata ZITO kwa elimu Na ZITO huyo huyo ndo aloiwezesha CHADEMA kupata wanachama wengi..Jamani kuujenga ukuta ni kazi lakini kuubomoa ni rahisi sana..Tahadhari Kama hali hii ikiendelea Chadema kazi mnayo mwaka 2015..

    ReplyDelete
  11. Hivi ndugu zangu hapo juu mnaoshabikia ccm hatukatai kuwa mwanachama wa chama fulani swali langu ni kuwa hamuoni kuwa ccm ya sasa sio kama ya ml nyerere?hivi hizi rushwa na kashfa za mabilion ya hela ambayo inasadikika yamefichwa Uswis yangerudi hapa bongo kujenga mahospital na mashule ya uhakika huoni kama hata sisi sote tungefaidika kwa kuwa ni haki yetu mimi na wewe kama raia wa nchii hii kunufaika na matunda ya nchi yetu?mpaka sasa tuna rasirimali nyingi tu lakin bado tunaomba misaada huduma ni mbovu mahospitalin lakini bado tunaskia mabilion yanaibiwa kila siku!ni juzi tu tulipandishiwa ghalama ya umeme lakini kumbe hela yenyewe imeliwa na wajanja wa IPTL tena sio pesa kidogo ni mabilion ya hela!sasa ndugu zangu wa ccm nilikuwa naomba ushauri wenu maana nchi ni yetu sote sasa kwanini viongozi wachache wawe na mali nyingi ambao ni ya uma wa watanzania yaani mimi na wewe halafu bado tunaendelea kutaabika?ni hayo tu watanzania wenzangu fikirini kwa umakini maana hata asiye kuwa na akili atatambua tu.asanteni.

    ReplyDelete

Top Post Ad