Huu ni Mwaka wa Ronaldo – kingine Alichomfunika Messi Hiki Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Cristiano Ronaldo ameendelea kumfunika mpinzani wake Lionel Messi, baada ya kumshinda kwenye uchezaji bora wa dunia, ufungaji bora wa La Liga na Champions League, na utajiri, sasa kwa mujibu wa taasisi ya uchunguzi na uchambuzi wa masoko ya Repucom umemtaja mshambuliaji huyo wa Real Madrid kuwa ndio staa wa soka mwenye thamani kubwa kwenye masuala ya kibiashara.
Kwa mujibu wa Repucom ndio mwanasoka mwenye mvuto mkubwa wa kibiashara kwa makampuni makubwa duniani kutokana ufuasi mkubwa wa mashabiki alionao kupitia mitandao ya kijamii.
Ronaldo ana likes millioni 82 kwenye mtandao wa Facebook, wakati anayemfuatia Messi ana likes millioni 57, kwenye twitter Ronaldo tena ameongoza kwa kuwa na wafuasi millioni 26.
Utafiti pia umeonyesha Ronaldo anatambulika zaidi duniani kuliko wachezaji wenzie, akipata asilimia 87% ya watu waliofanyiwa utafiti huo.
Wachezaji wengine waliongia kwenye listi hiyo ya wachezaji wenye mvuto mkubwa wa kibiashara kulingana na umaarufu ni Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Gerard Pique, Fernando Torres, Wayne Rooney – hawa ndio waliounda Top 5.
LISTI KAMILI IPO HIVI
article-2641168-1E426A4D00000578-334_634x478-1
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad