Spika Makinda Amwamuru Mwigulu Nchemba Kuvua Skafu Mara Moja Ndani ya Ukumbi wa Bunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigulu Nchemba ni mpenda sifa sana.Anadhani kila mwananchi anaipenda skafu yake na hivyo kumuonyesha kuwa mbunifu na wa kipekee. Awe anaheshimu mahali anapokuwa kama Bungeni, Mahakamani,kanisani na kwingineko kunakohitaji heshhima ya juu. Hongera Spika Makinda kwa kusema na kuamuru kuvuliwa kwa skafu ya Mwigulu Nchemba
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu jamaa sijui vipi anajiona yeye ndio mtanzania pekeyake hakuna mwingine nasikia mkewe analalamika haivui wakati wa kulala analala nayo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alipofumaniwa na mke wa mtu kule Igunga alichoropoka akaacha chupi na skafu,vyote vilipelekwa polisi kama exhibit.

      Delete
  2. Ile siyo skafu ya kawaida,ni aina ya hirizi kutoka kwa mganga wake wa kienyeji anayeishi Matombo morogoro,akiivua amekwisha kisiasa.

    ReplyDelete
  3. Mwigulu ni mshirikina sana,anajulika.na

    ReplyDelete
  4. Katika viongozi uchwara wa serikalo hii huyu mwigulu ni mtu mmoja hatari sana ktk nchii yy huwa wabunge wa upinzani wanapo ibua hoja ya ufisadi ktk secta fulani yy ndio wa kwanza kuwapinga au kujibu ndivyo sivyo ili mradi kile wabunge wa upinzani wanachotaka kusema kuwajuza wanachi waelewe yy anakosoa huyu sio mtu mzuri kabisa ingawa watanzania wengi hatujaligundua hilo.Huyu yuko kichama zaidi kuliko kuwatumikia wananchi alaaniwe vibaya mbwa huyu maana ni mtetea mafisadi mkubwa.

    ReplyDelete
  5. Ushamba tu jaman mcjal ngoja tujiandae nac

    ReplyDelete
  6. mlitaka avae chupi zenu?mambo ya mganga au kufumaniwa nia mambo binafsi.tatizo wana comment kwenye udaku wengi shule hakuna.swala hapa ni skafu tu mnaongelea chuki binafsi zenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaeeee jinc mijitu ilivyo mimburula

      Delete
    2. Swali hapa ni kwamba,kama hiyo skafu na chupi zilipelekwa polisi kama exhibit, fisadi Mwigulu karudishiwa je badala ya kufungwa jela?

      Delete
    3. Wewe hawala yake Juli acha mara moja kumtetea huyo fisadi Mwigulu,tunajua alivyokutomba kule kwenye kampeni mbeya akakutosa.

      Delete
  7. iyo skafu ht mimi ilikua inanikera sana, nashkuru spika kwa kuchukua hatua juu ya iyo skafu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyo skafu akamshonee mke wake chupi au isubiri kumfunga nepi atakavyo data kwa hilo gonjwa linalomsumbua.

      Delete
  8. Ahhahhhahhh wadau mmeua jmn lol koment zote mlizokoment n vichekesho mmetisha sana

    ReplyDelete
  9. Hahahaaaa km mi Mwigulu najitundika kila mtu anakuponda,huna hata mmoja anaekukubali teh teh teh bundiiiiii!

    ReplyDelete
  10. Mwiguru huwa nashindwa kumuelezea mpaka nilewe Jamaa ni msomi mzuri na hakiri nyigi on other side ni bwege wa hatari ambaye anaweza kuiletea nchi matatizo makubwa ,kwa njia ya haraka upumbavu wake ni wakuzaliwa nao. na pengine tatizo la ukoo

    ReplyDelete
  11. Mwiguru huwa nashindwa kumuelezea mpaka nilewe Jamaa ni msomi mzuri na hakiri nyigi on other side ni bwege wa hatari ambaye anaweza kuiletea nchi matatizo makubwa ,kwa njia ya haraka upumbavu wake ni wakuzaliwa nao. na pengine tatizo la ukoo

    ReplyDelete

Top Post Ad