Inakuwaje Video zinazofungiwa Kwenye TV za East Africa ni Deal Vituo vya TV vya Kimataifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi karibuni Tumesikia Video Mbali Mbali zikifungiwa na mamlaka husika kuchezwa kwenye Vituo vya TV hapa East Africa lakini cha kushangaza hizo hizo Video zilizofungiwa kwetu zinachezwa kwenye Vituo vikubwa vya kimataifa, Mfano mmoja wapo ni Video ya hivi karibuni ya kundi la Souti Soul ya wimbo unaitwa Nishike ilipigwa marufuku Kenya lakini cha ajabu inachezwa Channel O ya South Africa..Je Mamlaka Husika za Nchi zetu zimepitwa na wakati ?

Wakati huo huo kuna Swali nalojiuliza kila siku unakuta TV za Hapa ndani wanapiga nyimbo za nusu utupu za wanamuziki toka nje vizuri kabisa lakini za wasanii wa kwetu unakuta hata si za nusu uchi ila unakuta mdada kazungusha mauno kidogo tu eti Video inapigwa marufuku mbona hizo za kina Beyonce hamzizuiii?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwel kabisa wasanii wanaonewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tz nchi ya maadili uo ukahaba wenu peleka huko

      Delete
  2. tulinde maadili yetu,

    ReplyDelete
  3. tz tudumishe utamadun wetu lakin manjonjo muhimu au siyo

    ReplyDelete
  4. Tz ina maadili ya mdomoni, kwenye vitendo zero. zile za nje mnazifanyia uhariri au mnakurupuka tu mkiona msanii fulani kuatoa kutu tofauti,mitandao ya kufisadi,picha za ngono,mbona hamfuatilii.

    ReplyDelete

Top Post Ad