Kifo Cha Tyson Chamliza Mboni Mwasimba zaidi, AY Aokoa Jahazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu akiwa nje ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha maiti kuelekea Dar. Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa kipindi chake na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa magari tofauti.
Katika hatua nyingine, msanii wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' (anayehesabu pesa) aliamua kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili w marehemu, jeneza hilo liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo AY alizitoa cash!

Wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh! Rest in Peace brother.. Ay Ubarikiwe Mungu atakuzidishia

    ReplyDelete
  2. Rest in peace

    ReplyDelete
  3. AY wewe uko juu ya wote. Mungu ataonesha mlango wako wa kutokea very soon. Big up brother. Always your fun...DS

    ReplyDelete
  4. R.I.P George Tyson.....A Y u made it bro big up,dats y am appreciating u much coz u knw wat ur doing..thanx bro

    ReplyDelete
  5. Mungu atakubariki sn AY.rip tyson

    ReplyDelete
  6. Kuna sababu yoyote ya kupiga picha ukihesabu cash au ni ulimbukeni tu? RIP Tyson

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hamkosi cha kuongea wachawi bwana!kwani pale kajipiga yeye au wanahabari wamempiga?duh mtoto mdogo unajifunza kubeba tunguli kaazi kweli kweli.

      Delete
  7. AY wewe ni mtu kati ya watu na ndio maana unafanikiwa kila siku itwaapo leo!nakpnda sana my brother!

    ReplyDelete
  8. we bwege hapo juu AY hajamfata mwandishi ili apige hiyo pic hiyo hicho kiherehere cha mwandishi sasa ukitaka ay afanyaje,? pumbavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo kweli ni mpumbavu,anadhan Ay kamwita mwandishi ampige pic au hajui kaz ya waandishi inavokua.
      Ay big up xn kiongoz

      Delete
  9. R.I.P bro Tyson...good of u AY...

    ReplyDelete
  10. Jaman watu wengne cjui wapoje mnaongea v2 havina maana AY hakuomba mwandishi ampge pcha wakat wakutoa ela sema umaarfu wake ndo umemfanya mwandish awe close nae kwa kla anachokfanya lv u brother AY mung akuzdishie

    ReplyDelete
  11. AY. Kaka wasanii wenzako watakiwa waige mfano wako na sio kupanganisha misururu ya wanawake

    ReplyDelete
  12. we anoy 9:59 Acha majungu yako na ushamba.. kwani hyo picha AY kajipiga? mburula wee umaskini wa akili tu

    ReplyDelete
  13. AY utalipwa na mungu.
    wa kukuponda huwez wakosa kwan wewe siopesa kupendwa na kila mtu.

    ReplyDelete
  14. Bro Ay mungu atakulipa inshaaAllah, na tumuombee ndgu yetu akapumzike salama, Aamina

    ReplyDelete
  15. Kila nafsi itaonja umauti Bwana alitowa na Bwana ametwa jina LA Bwana lihimidiwe

    ReplyDelete
  16. RIP Tyson. ila tujifunze ku appreciate, AY hakujipiga picha. he is a public figure so, paparazi ndo kapiga picha. baada ya kuhuzunika na kusapoti juhudi unaanza kutafuta weakness. sio vizuri bana mdau hapo juu

    ReplyDelete
  17. Huyu br AY hanaga limbukeni za maisha yuko poa, mfano mzur wa kuigwa blessed my br

    ReplyDelete
  18. Tyson yawa!RIP

    ReplyDelete
  19. msisime AY bwana kwani mmejuaje kama alijua anapigwa picha ,ina maana mboni nae alitaka kupigwa picha analia ..pale waandishi wa global mnavyowajua wadaku lazima walitaka mapicha

    ReplyDelete

Top Post Ad